James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Yaan aleny utaona,,,hawa jamaa sijui wanafikilia nini,unahangaika kujenga kiwanja cha billions of money badala yakutumia hizo PESA uongeze ajira uchumi ukue wewe unajenga uwanja,,,kwel kazi sana,Ha ha ha ha ha ha ha labda wameleta ili ndege za kisasa za wenzetu zije kutua pindi wajapo kufundisha maaskari wetu.
WEWE ndo punguwani. .....Wewe ni punguwani
Kila jambo lina umuhimu wake. Pia katika ngazi ya familia hata mkiwa na upungufu wa fedha kiasi gani.... tafrija mtafanya tu.Yaan aleny utaona,,,hawa jamaa sijui wanafikilia nini,unahangaika kujenga kiwanja cha billions of money badala yakutumia hizo PESA uongeze ajira uchumi ukue wewe unajenga uwanja,,,kwel kazi sana,
And how do ladies sound like in debates, denoo49? Cant they be also aggressive in arguments? Anyway, I could be wrong in my assumption, that JF user could well be a man.If so she sound like she male
Nimekuelewaa mkuu wa kaziiiiWakati mzuri zaidi wa kujiandaa na baa la njaa ni pale kuwapo na chakula cha kutosha,
Vilevile wakati mzuri zaidi wa kujiandaa na vita ni ule wakati nchi ina amani.
Natumaini umenielewa
Ukiwa mtulivu na mdadisi utajifunza mengi tu,lkn elimu ya kwenda taifa kuangalia maonesho ya 9dec. na kukaa kwenye google utasubiri sana tuishio maporini tunaelewa vilivyopo na uwezo wake.Hakuna mtu anayelibeza JWTZ isipokuwa palipo na ukweli basi tuuweke huo ukweli na pasipo na ukweli baso tuseme.
Kwa sasa tukisema kwamba tunavifaa vya kijeshi imara kujiringanisha na Misri, Libya, Algeria, Ethiopia, South Afrika n.k utakuwa ni uongo.
Tuwekeni ukweli ukae sehemu yake ili uongo ujitenge.
Acha uongo wewe,si zote ni vertical take off/landing ni harrier pekee kwa upande wa west.Labda ungesema hiyo dunia ua kwanza wana ndege zinazohitaji runway fupi kupaa/kutua.Uko sahihi Mjomba..
Hakuna Ndege wala meli yenye urefu huo dunia..
huo utakuwa ni urefu wa njia ya kuruka na kutua ndege (Runaway)..
Na kwa ndege za kisasa...
wala huitaji uwanja mrefu kwa ajili kuruka na kutua..
Huko Dunia ya kwanza ndege zao za kivita zote zinateknolojia ya VToL
(Vertical Takeoff Landing)
ndani ya kiwanja cha 20x 20
chombo inaweza unaruka na kutua....
Both J-20 na J-31 mtengenezaji ni China. China sasa hivi inatisha kwenye uwanja huo. Ndio maana uwanja umejengwa na china kwa standard za Jeshi la china. Usiombe
Tatizo ni aina ya ukwasi tulionao, na tafrija tufanyazo, vitu viwili tofauti kabisa.Kila jambo lina umuhimu wake. Pia katika ngazi ya familia hata mkiwa na upungufu wa fedha kiasi gani.... tafrija mtafanya tu.
Jibu maswali uliyoulizwa kuliko kukimbilia kukebehi watu na sound zako vya shombo.Wewe ni punguwani
Hahahaha soma upyaNdege yenye urefu wa mita 3000?
Wewe leta proof zako sio kukimbia kimbia tu. Naona propaganda za western zimekuingia sawa sawa. Nimekueleza battle ya Syria ya juzi tu. Naona unaleta nyimbo tu. Nikakueleza Iran wapo na SU-35 mpaka USA na member wake Israel wanagwaya. Iran anasema yeye hachokozi mtu lakini akichokozwa yupo tayari kujilinda. Sasa wewe unaongea tu. Leta hizo facts zako hapa.
Bando= bado.Wewe bando unanuka maziwa mdomoni. Kojoa ukalale watu wazima waongee. Wewe katoto ka miaka ya juzi juzi utajua nini wewe. Zaidi sana nitasema wewe ni mwehu au kichaa.