Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Man.. J-20 technology yake ni so secret. prototype ambazo ziko tayar hata 10 hazifiki.
Su -35 . Russia wana 58 , china wali order 24 mwaka 2015.
known operators wa su-35 ni russia na china tu.
Hizi ndege operating cost zake ni kubwa kuliko unavyo dhani.
Aisee ngoja nikuwekeee references ya vitu vyote tusianze kuongea maneno hapa. Nakuwekea kitu kimoja kimoja.
 
Hilo nalo swali unauliza!? Unataka nikusaidie nini sasa. Ulikuwa unataka uzipate kwenye website ipi?
Ahahaha nikushauri tu, hachana na huu mjadala, maana ndio unajivua nguo.
Sasa kama ingekuwa ni reference from bristain.com obvious ingekiwa ni link ambayo ukiclik inakupeleka sehemu husika wa hiyo habari na ingekuwa bolded by Blue color kama zilivyo hizo nyingine. Umeishia kuofoji kama Makonda na vyeti vyake sasa unajiumauma. Alafu na hiyo TPDF Air wing imeingiaje hapo?
 
Hizo zingine nimefuatilia taarifa zake.. kama J-20 ziko 8 tu. Na jeshi la china zinahitaji zaidi. Alaf huyu bwana anaongea as if zinakuja kesho... nimeshangaa sana...
Achana na huyo tapeli. Aendelee kuwauza wajinga wasiojielewa. Ukiona ameanza mpaka kughushi reference za kwenye mitandao basi kaisha sababisha madhara makubwa kwenye jamii inayomzunguka
 
Hizo information ni kwa mujibu wa mitandao. Lakini kwenye reality siyo hivyo. Kuna vitu vingi tu chini ya uvungu. Siyo muda mrefu vitaoneshwa na utashangaa sana. Tumeonesha kidogo kwenye Navy na ground watu wengi walitetemeka.
Brother naongea kwa fact.... ww unaongea kwa ushabiki. Leta fact zako hapa... hivo vitu vikowaoi na taarifa umepata wapi?
 
Kwa hiyo huyo jamaa aliyekuchukulia kama Jike yupo sahihi tu, au tayari alishawahi kukupeleka "msata" na "ukachuma mboga za majani," ndio maana anauhakika na jinsia yako mpaka akaku address direct?

I dont think it is very usual for people to use names or even photos of the opposite sex on their internet profiles, even on the websites such as this one that does not require one to use their real names. They would prefer the usernames and photos that are matching their gender, or images associated with their gender.

Annael is a girl's name, meaning origing and popularity, and most likely, it is the real name of that JF user. That is how I jumped into the conclusion that the person is actually female.
 
Kwenye ndege sasa.......hicho kiwanja kitazeeka bila kuwa na ndege zinazohitajika kutua hapo
 
Hakuna mtu anayelibeza JWTZ isipokuwa palipo na ukweli basi tuuweke huo ukweli na pasipo na ukweli baso tuseme.

Kwa sasa tukisema kwamba tunavifaa vya kijeshi imara kujiringanisha na Misri, Libya, Algeria, Ethiopia, South Afrika n.k utakuwa ni uongo.

Tuwekeni ukweli ukae sehemu yake ili uongo ujitenge.
 
Mara ya mwisho kumbukumbu yako inasema tulivamiwa lini na maadui?
So what's your point? Kwamba tusiwe na jeshi wala kununua na kuimarisha vifaa vya kijeshi kwa sababu hatujavamiwa na adui kwa miaka mingi? Siyo lazima uchangie kwenye mada ambazo huna uelewa nazo.
 
Its an agreement.... but bado hawajaanza ku operate
Anneal huwa mgumu sana wa kuelewa, ikimpa maarifa anang'ang'ana na vijimambo, huyu sijui vipi? Mara umeniambia F 15 hazina VTOL technology, nikakubali nikaenda kutafuta zaidi, nikapa ni ukweli, mwambie Anneal kwa uone. Ana shida huyu jamaa
 
I dont think it is very usual for people to use names or even photos of the opposite sex on their internet profiles, even on the websites such as this one that does not require one to use their real names. They would prefer the usernames and photos that are matching their gender, or images associated with their gender.

Annael is a girl's name, meaning origing and popularity, and most likely, it is the real name of that JF user. That is how I jumped into the conclusion that the person is actually female.
If so she sound like she male.

Back
Top Bottom