Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

f-15-27.jpg
Dah umekosea sana Edward ... F-15C haina technology ya VTOL
 
Sasa hicho kidege ndiyo unasema kinatumia Technology gani!? Yaani kenya bado kabisa.
Eti imekuaje ile footnote number 3 kwenye source uliyoiweka humu, authority yake imekuwa air britain.com?
 
Eti imekuaje ile footnote number 3 kwenye source uliyoiweka humu, authority yake imekuwa air britain.com?
Hapo chini ipo reference namba tatu. Hebu check uone pale. Yaa source ya data.
 
Some of the Air Bases and the fighter jets in Kenya. Tanzania kumbe wana gani, ama watanunua hivi karibuni J - 20??

xghwfwfq2cjwb1nmlup5841dca26e96c.jpg

kenyan+F5.jpg

Kenya+F5.jpg

image005.jpg

45153496.jpg

1512866-large.jpg

18446_11.jpg

428799.png
Mr.ed unajua F-5 ambazo ni supersonic light fighter but J-20 ni fifth generation fighter aircraft and na pia ni stealth.....
 
Ndio nauliza imekuwaje imekuwa retrieved from air britain.com?
Hilo nalo swali unauliza!? Unataka nikusaidie nini sasa. Ulikuwa unataka uzipate kwenye website ipi?
 
Hivi sasa hivi sisi Tanzania tuna ndege gani.?
Au labda niulize hivi kwa E. African countries, ni nchi ipi ndege bora za kivita?
Tanzania.. tuna fly.. MIG - 21/ F -7, J -5. Ukicheki hizi ndege ni za zamani sana... haswa mig -21, na J-5 .
F-7 ni updated version of MIG -21.
Hivi sasa hivi sisi Tanzania tuna ndege gani.?
Au labda niulize hivi kwa E. African countries, ni nchi ipi ndege bora za kivita?
Tanzania.. tuna fly.. MIG - 21/ F -7, J -5. Ukicheki hizi ndege ni za zamani sana... haswa mig -21, na J-5 .
F-7 ni updated version of MIG -21.
 
Hapo chini ipo reference namba tatu. Hebu check uone pale. Yaa source ya data.
Umeanza kuona madhara ya kukimbilia Wikipedia na gugo zako? Unaulizwa kitu unaishia kutomasa keyboard.
 
Hizi SU-35 ni mnyama uwanjani, hii F-22 nayo ni mnyama vile vile sio sio kama SU-35. Mambo kama haya Russia ni habari nyingine.

Tanzania tusubiri miaka mingi sana kumiliki hivi vitu, landa tujikakamue saaana kumiliki MIG-21.
Sikuiz tunamiliki f-7PG ambayo ni updated version ya MIG- 21. Nothing new man.. ilianza kutumika since.. 1966
 
Mtanzania wa kawaida ananufaikaje na uwanja huo? Nawaza tu.
 
Yaani wewe ni kopo kabisa. Hebu leta references kwamba Uganda ipo na SU-30. Au unaimba nyimbo na mapambio?
Is is true uganda wana su-30. na ni suala la siku nyingi mbona.. embu search usome.
 
Umeanza kuona madhara ya kukimbilia Wikipedia na gugo zako? Unaulizwa kitu unaishia kutomasa keyboard.
Wewe Tatizo lako unataka uletewe kitabu. Nimekueleza fuatilia hiyo source. Halafu unakuja na maswali ya kijinga. Unaniuliza kwanini ipo kwenye website hiyo? Hivi nikuulize umewahi ona website ya JWTZ? Unataka utafuniwe kila kitu? Hizo note zinaeleza source ya information.
 
Sikuiz tunamiliki f-7PG ambayo ni updated version ya MIG- 21. Nothing new man.. ilianza kutumika since.. 1966
Hizo information ni kwa mujibu wa mitandao. Lakini kwenye reality siyo hivyo. Kuna vitu vingi tu chini ya uvungu. Siyo muda mrefu vitaoneshwa na utashangaa sana. Tumeonesha kidogo kwenye Navy na ground watu wengi walitetemeka.
 
Naomba maelekezo hapo kwenye "air craft assigned" nimeangalia kwenye footnotes zake ni "britain.com" inakuwaje hapo?
Hizo zingine nimefuatilia taarifa zake.. kama J-20 ziko 8 tu. Na jeshi la china zinahitaji zaidi. Alaf huyu bwana anaongea as if zinakuja kesho... nimeshangaa sana...
 
Tanzania.. tuna fly.. MIG - 21/ F -7, J -5. Ukicheki hizi ndege ni za zamani sana... haswa mig -21, na J-5 .
F-7 ni updated version of MIG -21.

Tanzania.. tuna fly.. MIG - 21/ F -7, J -5. Ukicheki hizi ndege ni za zamani sana... haswa mig -21, na J-5 .
F-7 ni updated version of MIG -21.
Mkuu hiki kitu nakifahamu, nilimuuliza huyo popoma, ili nione atakavyoshuka shudu zake humu akaishia kuhamisha chanel. Maana alikuwa hodari wa kuponda Ndege za kenya nikamuuliza sisi tunazipi mpaka apate kuringa na kurusha marinda kiasi kile.
 
Back
Top Bottom