Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Sasa hayo makopo ya mwaka 1962 yaani F-5 unaleta hapa. huoni hata aibu? Hizo ndege licha ya radar yanaonekana hata kwenye camera ya simu ya Galaxy.
Hivi sasa hivi sisi Tanzania tuna ndege gani.?
Au labda niulize hivi kwa E. African countries, ni nchi ipi ndege bora za kivita?
 
Hivi sasa hivi sisi Tanzania tuna ndege gani.?
Wewe tatizo lako hujui chochote. Kubali kwanza kwamba hujui ili nikusaidie. Lakini kujifanya unajua utaonekana hopeless.
 
Wewe tatizo lako hujui chochote. Kubali kwanza kwamba hujui ili nikusaidie. Lakini kujifanya unajua utaonekana hopeless.
Kuna raia wa kunisaidia ila sio wewe na tambo zako zenye vacuum.
 
Kuna raia wa kunisaidia ila sio wewe na tambo zako zenye vacuum.
Hebu ona sasa ulivyo!!? Unauliza swali upate msaada huku unaleta nyodo. Ujinga siyo tusi ndugu. Kubali hali halisi yako upate kuelevuka.
 
Ngoja basi nikurudie nikupe somo. SU-35 ni ndege hatari sana duniani usiombe tena nakwambia usiombe. Zinaenda head to head na F-22 ya USA.
Hii tukiwa nayo moja tu hapa bongo ni noma sana usifanye mchezo na Russia wewe. Iran wamepatiwa chache tu ndiyo maana Israel yupo kimya hapo mashariki ya kati anajua mziki wa hizo. Usiombe wewe

Soma hii taarifa

While Russian forces in the region are probably there to support Bashar al-Assad’s beleaguered regime against ISIS, without careful coordination with U.S. and allied forces operating in the region, there is a real danger of an inadvertent confrontation. That is why U.S. Defense Secretary Ash Carter made sure to call his Russian counterpart Sergei Shoygu to make certain that U.S. and Russian forces don’t accidentally find themselves in conflict. “The secretary and the minister talked about areas where the United States and Russia's perspectives overlap and areas of divergence,” states a Pentagon release. The timing of the call was slightly awkward because the Flankers showed up in Syria just hours after the conversation.

Russia's Su-30SM vs. America's F-22 Stealth Fighter in Syria: Who Wins?
Hizi SU-35 ni mnyama uwanjani, hii F-22 nayo ni mnyama vile vile sio sio kama SU-35. Mambo kama haya Russia ni habari nyingine.

Tanzania tusubiri miaka mingi sana kumiliki hivi vitu, landa tujikakamue saaana kumiliki MIG-21.
 
Hebu ona sasa ulivyo!!? Unauliza swali upate msaada huku unaleta nyodo. Ujinga siyo tusi ndugu. Kubali hali halisi yako upate kuelevuka.
Yani kama tungekuwa hata na SU 30 kama jirani zetu wa Uganda nadhani ungekuwa unakunya "magadi" JF nzima.
 
Naona unajitahidi kuhamisha magoli tu, unachoulizwa sicho unachojibu. Hayo yote unayo copy na ku paste nafahamu yanapopatikana. Na ndio maana hata nilipo kuuliza Bajeti na running cost ya J 20, umeishia kuleta ngonjera maana hizo data nilijua kuzipata kwake sio za haraka kama hizi za kubandua na kubandika.

Alafu umeongelea swala la udogo wangu, pengine unaweza kuwa sahihi kwani bi-mdash wako atakuwa amekusimulia maana ndio umenya "tango" daily.
Tuweke mambo ya wazazi pembeni, tujiongelee sisi kama sisi.
 
Yani kama tungekuwa hata na SU 30 kama jirani zetu wa Uganda nadhani ungekuwa unakunya "magadi" JF nzima.
Yaani wewe ni kopo kabisa. Hebu leta references kwamba Uganda ipo na SU-30. Au unaimba nyimbo na mapambio?
 
Rudi upya unisome vizuri kwa umakini na utulivu. Na pitia maswali niliyouliza. Hakuna sehemu nimeiponda SU 35, zaidi ya kukuambia ni ndege iliyonyuma kulinganisha na advanced ya technology kwa sasa katika masuala ya anga.
Yani ni Sawa utambe na Corolla cresta ya mwaka 92 wakati watu wanaongelea Carina Ti au ISt kwa sasa
Unajua South Africa wanatumia Ndege gani?
Mkuu, SU-35 ni ndege iliyopitwa na Technology ya sasa???
 
Sasa mkisema nyinyi ni number one ...Egypt watasema nn ..leta evidence ati you are number one na sii some photos of your army ..real data (latest) ...sometimes unafaa ujue jf kuna mature people who are irked by your stupidity ...leta list ya african armies[emoji23] [emoji23] [emoji23] tuone tz iko wapi..ati no 1 ..wtf
Inabidi tufike kipindi tutambue kuwa jeshi letu ndo lipo ktk hatua za kujijenga zaidi kwenye medani ya kisayansi ya kisasa. Level za Misri, South Afrika hatunusi hata pua.
 
Hivi wewe unajua Su-35 lakini au unaleya nyimbo na mapambio?
Hebu nakutaka uniletee namna gani F-22 au J-20 zinazidi Su-35.

Nimekuonesha Tatizo la Syria la juzi juzi tu uweze kusoma. Nimekuwekea links bado huelewi. Su-35 ni technology ya mujini.
Sisi TZ tupo kwenye nchi hizi mbili (China na Russia). Ambazo zipo na deadly weapons. Kenya wapo na marekani.
Mkuu, achana nae. Eti SU-35 sio ndege ya kisasa.
 
Inabidi tufike kipindi tutambue kuwa jeshi letu ndo lipo ktk hatua za kujijenga zaidi kwenye medani ya kisayansi ya kisasa. Level za Misri, South Afrika hatunusi hata pua.
See ..know you are a great thinker ...same to kenyan army...is great lakini kuna level zingine hatuguzi za egypt na sa includig ethiopia
 
See ..know you are a great thinker ...same to kenyan army...is great lakini kuna level zingine hatuguzi za egypt na sa includig ethiopia
Misri, South Afrika, Nigeria Na Ethiopia kwa mbali najua uwezo wao wa kijeshi ila Kenya hapana kwa kweli, Uganda nnajua wana SU-30 6 za Russia.

Tanzania naona na sisi ndo tumeamka, nadhani ujengwaji wa hiki kiwanja kutahamasisha ununuaji wa hizo ndege za kisasa za kivita.
 
Back
Top Bottom