denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,950
Mkuu ujue tunapoongelea advanced technology katika masuala ya anga, ni kwamba technology ina kimbia huku sisi bado tuna tambaa, mf unaona zipo mpaka ndege zisizo na rubani (drones) na bado zinaweza kufanya mashambulizi, ubunifu unaongezeka mpaka kwenye ndege zisizoweza kuwa detected kirahisi na radar ya adui. Yani kwamba mtu anaweza kuja aka spy au kufanya shambulizi pasipo wewe kuwa hata na taarifa.Mkuu, SU-35 ni ndege iliyopitwa na Technology ya sasa???
Mimi kubishana kwangu na huyo binti ni katika muktadha huo. Sasa anaishia kusifia kitu ambacho hana hata uwezo wa kukimiliki. Amesikia kipo kwa jirani povu linamtoka tu.
Na nilimuuliza swali langu kimtego nikijua hana jibu zaidi ya ujuaji mwingi