Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Mkuu, SU-35 ni ndege iliyopitwa na Technology ya sasa???
Mkuu ujue tunapoongelea advanced technology katika masuala ya anga, ni kwamba technology ina kimbia huku sisi bado tuna tambaa, mf unaona zipo mpaka ndege zisizo na rubani (drones) na bado zinaweza kufanya mashambulizi, ubunifu unaongezeka mpaka kwenye ndege zisizoweza kuwa detected kirahisi na radar ya adui. Yani kwamba mtu anaweza kuja aka spy au kufanya shambulizi pasipo wewe kuwa hata na taarifa.
Mimi kubishana kwangu na huyo binti ni katika muktadha huo. Sasa anaishia kusifia kitu ambacho hana hata uwezo wa kukimiliki. Amesikia kipo kwa jirani povu linamtoka tu.
Na nilimuuliza swali langu kimtego nikijua hana jibu zaidi ya ujuaji mwingi
 
Misri, South Afrika, Nigeria Na Ethiopia kwa mbali najua uwezo wao wa kijeshi ila Kenya hapana kwa kweli, Uganda nnajua wana SU-30 6 za Russia.

Tanzania naona na sisi ndo tumeamka, nadhani ujengwaji wa hiki kiwanja kutahamasisha ununuaji wa hizo ndege za kisasa za kivita.
Kwa Ethiopia binafsi nipo empty, unaweza kunitoa ujinga katika hilo.
 
Yaani wewe ni kopo kabisa. Hebu leta references kwamba Uganda ipo na SU-30. Au unaimba nyimbo na mapambio?
Mwisho wa Siku mi na wewe nani anaoneka Kopo hapo... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu ujue tunapoongelea advanced technology katika masuala ya anga, ni kwamba technology ina kimbia huku sisi bado tuna tambaa, mf unaona zipo mpaka ndege zisizo na rubani (drones) na bado zinaweza kufanya mashambulizi, ubunifu unaongezeka mpaka kwenye ndege zisizoweza kuwa detected kirahisi na radar ya adui. Yani kwamba mtu anaweza kuja aka spy au kufanya shambulizi pasipo wewe kuwa hata na taarifa.
Mimi kubishana kwangu na huyo binti ni katika muktadha huo. Sasa anaishia kusifia kitu ambacho hana hata uwezo wa kukimiliki. Amesikia kipo kwa jirani povu linamtoka tu.
Na nilimuuliza swali langu kimtego nikijua hana jibu zaidi ya ujuaji mwingi
Wewe hujui chochote. Maneno meengi hebu taja sasa hiyo ndege inaitwa dron imewahi kufanya mashamburizi wapi?
Hapa tunaongelea Fighter Jets ndugu. Acha kuchanganya madesa hapa. Kama hujui kaa kimya ueleweshwe.
 
Mwisho wa Siku mi na wewe nani anaoneka Kopo hapo... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimefanya kukusaidia tu hapo. Ili uone watu walivyo update. Wewe maneno meengi hujaleta maelezo yoyote. In short hujui.
 
Yani husitegemee mi nikulishe kama alivyofanya jamaa, kukusaidia kukupa source ya Uganda kumiliki SU 30.
Kwa kuwa umeonesha Uhodari kwenye Google nenda katafute unachoona nimekieleza na hukijui.
 
Nimefanya kukusaidia tu hapo. Ili uone watu walivyo update. Wewe maneno meengi hujaleta maelezo yoyote. In short hujui.
Na ukweli ni kwamba ambapo sijui nitaweka wazi kwamba sijui, ila sipo tayari kuelekezwa na popoma kama wewe.
Maana hata katika maswali yangu yote niliyokuwa nakuuliza umeishia kuhamisha chanel.
 
Unatafuta kiki kwangu sio!!?
 
Soma vizur mzee mwenzangu ili usiwe unakurupuka.
Kiwanja chenyewe ndicho chenye urefu wa mita 300 na siyo ndege.
Mzee mwenzangu aliyeleta habari alikosea na amesha edit jaribu kupitia comments za mwanzo za huu uzi
 
Naomba maelekezo hapo kwenye "air craft assigned" nimeangalia kwenye footnotes zake ni "britain.com" inakuwaje hapo?
jamaa amewaona wajinga ameongeza ndege hewa ,tunajua mtu yeyote anaeza edit data za wikipedia.
 
Mwisho wa Siku mi na wewe nani anaoneka Kopo hapo... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha ha ha ha ha ha ha jamaa hajui kama Uganda wana SU-30? Waganda walipiga sana kelele kwa ununuzi wa hizi ndege, tena Museven alinunua 6, ni pesa nyingi sana ilitumika kununua hizi ndege.

Mseveni ni mpendq sifa na mikwara, ni kupenda sifa pekee ndo kumepelekea kununua hizi ndege
 
Nipatie jina la Fighter Jet moja inayotumia technology hii.
f-15-27.jpg
 
Back
Top Bottom