Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

First lady mbona haonekani kwenye baraza la mawaziri?
Kwahiyo unataka ufanyeje? Kwani Kikatiba wajumbe wa baraza la mawaziri ni akina nani? Mbona unakuwa mwehu hivyo.
Halafu nikuulize kikatiba je, katiba imesema rais aambatane na nani kwenye ziara zake za kiserikali?
Mbona unakuwa mpumbavu kiasi hicho. Acha utoto mwehu wewe.

Ukosefu wako wa adabu usiuoneshe wazi wazi. Uwe na adabu kwa viongozi wa nchi.
 
A 3000M long plane? hahahah.

It is like building a KSH 20M car park for a rickshaw.

Here are Tanzania's 19th century wonder planes:

Tanzania kunaa vitaa au hzo ndege zinatusaidiajee km watanzania au unaweza kukodishia nchi zenye vita tukapata fedhaa..naomben kueleweshwa ndugu
 
Tanzania kunaa vitaa au hzo ndege zinatusaidiajee km watanzania au unaweza kukodishia nchi zenye vita tukapata fedhaa..naomben kueleweshwa ndugu
Wewe bando unanuka maziwa mdomoni. Kojoa ukalale watu wazima waongee. Wewe katoto ka miaka ya juzi juzi utajua nini wewe. Zaidi sana nitasema wewe ni mwehu au kichaa.
 
Tanzania kunaa vitaa au hzo ndege zinatusaidiajee km watanzania au unaweza kukodishia nchi zenye vita tukapata fedhaa..naomben kueleweshwa ndugu
Silaha za kivita sio kwa ajili ya kupigana vita. Ni kwa ajili ya kujilinda. Adui wanaogopa kutuvamia kwa kuwa tuna silaha za kivita pamoja na jeshi. Tusinge kuwa navyo hivyo tungekuwa chini ya wavamizi by now as we speak...
 
Mara ya mwisho kumbukumbu yako inasema tulivamiwa lini na maadui?
 
Wewe bando unanuka maziwa mdomoni. Kojoa ukalale watu wazima waongee. Wewe katoto ka miaka ya juzi juzi utajua nini wewe. Zaidi sana nitasema wewe ni mwehu au kichaa.
Mkuuu nimeulizaa swalii ss kosa lipoo wapii .achaa kujifanyaa mjuajii km uwezii jibuu c ukaee kimyaa..nimeulizaa nipatee kujifunzaa na nikishajuaa nikisikiaa wenzangu mtaani wanaiyongeleaa ishuu km hyoo nitawezaa kuwaelewesha kutokana na nimeshajifunzaa kwako au kwa wenginee kwakuwaa ww n mzee wa kukurupukaa na mjingaa wa mwishoo na usiyee juaa kituu ndioo maana umenijibuu hvyoo
 
Hayo maswali ya watoto wadogo. Na watoto hawaruhusiwi kutumia mitandao. Kama wewe ni mtu mzima utakuwa na mtindio wa ubongo.
 
picha #3 sizonje hakujilipua kweliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…