Kileghe
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 367
- 315
Tunafanya shughuli zetu kwa amani mana maadui wa nje ya mipaka wanaogopa ulinzi wetu chini ya jeshi letu na serikali yetu makini.
Naipongeza serikali yetu kwa kuimarisha jeshi letu kamandi ya anga. Sasa tuna uwanja ni wakati wa kuwa na ndege za kivita za kisasa, sio lazima tuwe na ndege kama za marekani,urusi,korea na china bali kwa kuanzia tuwe vizuri ili nchi majirani wasiwe na wazo au ndoto hata ya kutuchungulia.
Hongera jw hongera mtukufu raisi