UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,673
- 12,265
Mkuu mwanzo alisema ndege yenye urefu wa 3000M baadae ndio aka edit taarifa yakeUwanja mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mwanzo alisema ndege yenye urefu wa 3000M baadae ndio aka edit taarifa yakeUwanja mkuu
Uwanja ni wa kisasa na wa kipekee kusini mwa Jangwa la Sahara.
Viwanja vya namna hiyo ni viwili tu vimejengwa China na hiki kimoja hapa Tanzania.
"Kinaurefu wa mita 3,000, Upana mita 45 unene wa Sentimita 45"
MICHUZI BLOG: RAIS MAGUFULI AZINDUA UWANJA WA NDEGEVITA WA KAMBI YA NGERENGERE, MOROGORO
RAIS MAGUFULI AZINDUA UWANJA WA NDEGEVITA WA KAMBI YA NGERENGERE, MOROGORO | KAMANDA WA MATUKIO
View attachment 477530 View attachment 477531 View attachment 477532
NB: Watani zetu wakenya naona wanaendelea kukenua kenua meno.
Sasa Uwanja huu ndege matata za kivita mtaziona sio muda mrefu.
Vifaa kama hivi hapa chini nadhani vitapatikana hapa bongo
View attachment 477536
View attachment 477537
Wao wana maendeleo pia mbn unafananisha vitu ambavyo havina ulingani? wewe unamsifia baba ako kununua mapanga na bunduki kwa ajili ya ulinzi wakati hali ya msosi nyumbani sio nzuri? na pia hao waingereza Wao wana tishio kubwa la magaidi sio vibaka so umbumbumbu wangu kwako cjui ni nn tu!Nakuhurumia sana kwa umbumbumbu wako. Hivi unadhani kwanini Uingereza ina vifaa vya hali ya juu vya kivita? Je, wapo na vita? Wewe unafikiri kwanini China au Russia wapo na vifaa vya kutisha je wanavita? Ukiwa mbumbumbu ni vyema ukaficha upumbavu.
Wakati mzuri zaidi wa kujiandaa na baa la njaa ni pale kuwapo na chakula cha kutosha,Tanzania kunaa vitaa au hzo ndege zinatusaidiajee km watanzania au unaweza kukodishia nchi zenye vita tukapata fedhaa..naomben kueleweshwa ndugu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]First lady. Halafu maswali mengine ya kitoto kabisa hivi mbona mnakuwa kama wapumbavu!!?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] I thought may be is "HE"Somebody keeps spewing uncalled for insults, calling others 'idiots', yet she couldnt even discern the simple error in the document she's presented, even when others pointed it out for her she still defended the mistake.
Ati 3000m long plane!
Naona kuna utata mwingine unataka kuibuka kama hizo mita 3000, Je wewe ni "KE" or "ME"? Kumradhi lakini kwa swali husika.Mbona unapotosha? hivi unapotosha kwa faida ya nani. Tunaongelea uwanja wa ndege wewe unasema kambi. Acha bana upoyoyo.
Unaoneka wewe kijana akili zako ni ndooooogle sana. Halafu huenda huna exposure, umejiumga JF kwa msaada wa shemeji yako. Wakati mwingine inakuwa vizuri kuficha upumbavu wako. Unadhalilisha wakenya wazenzako. Mbona wakenya wako poa tu!!? Au ndio madhara ya akili kuliwa na funza. Kwanini usitumia akili kidogo tu kiwango cha kuku!?Ndege siku hizi zinaruka kutoka katika meli
Urefu kutoka kijijini kwetu hadi kijiji cha jirani.Alie andika kakosea hakuna ndege ya huo urefu duniani
Hizo ni km 3
Somebody keeps spewing uncalled for insults, calling others 'idiots', yet she couldnt even discern the simple error in the document she's presented, even when others pointed it out for her she still defended the mistake.
Ati 3000m long plane!
Hivi tatizo ni lugha au uelewa?Mashoga mna matatizo sana. Kila kukicha mnawaza uchafu tu. Moja wapo ni wewe. Tubu Mungu atakusaidia.
Ujue kukichaa siyo uokote makopo. Wewe hapa ni kichaa. Jaribu kwenda kupimwa akili. Ninauhakika watakwambia upo na mtindio wa ubongo.Wao wana maendeleo pia mbn unafananisha vitu ambavyo havina ulingani? wewe unamsifia baba ako kununua mapanga na bunduki kwa ajili ya ulinzi wakati hali ya msosi nyumbani sio nzuri? na pia hao waingereza Wao wana tishio kubwa la magaidi sio vibaka so umbumbumbu wangu kwako cjui ni nn tu!
Sasa unapouliza Jinsia kwenye mitandao unamaana gani? Ni mashoga pekee wanafanya hivyo.Hivi tatizo ni lugha au uelewa?
Sasa panic yote ya nini?
Mi nimefanya kuuliza kutokana na post moja wapo hapo juu jinsi walivyokuchukulia. Au wakati huyo jamaa anaandika ulikuwa umevaa miwani?
Mi niliaona niulize kwanza ili nijue, na nisiendelee kujipotosha.
Somebody keeps spewing uncalled for insults, calling others 'idiots', yet she couldnt even discern the simple error in the document she's presented, even when others pointed it out for her she still defended the mistake.
Ati 3000m long plane!
Kwa hiyo huyo jamaa aliyekuchukulia kama Jike yupo sahihi tu, au tayari alishawahi kukupeleka "msata" na "ukachuma mboga za majani," ndio maana anauhakika na jinsia yako mpaka akaku address direct?Sasa unapouliza Jinsia kwenye mitandao unamaana gani? Ni mashoga pekee wanafanya hivyo.