denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,950
Kwahiyo unategemea adui yako wa anga atatoka Africa tu?Nani hao hapa Africa? Hebu nitajie nchi moja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo unategemea adui yako wa anga atatoka Africa tu?Nani hao hapa Africa? Hebu nitajie nchi moja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], naomba nijue kwanza kutua au kununuliwa?Nani hao hapa Africa? Hebu nitajie nchi moja. Halafu wewe unaongelea J-20 wakati TZ zinatua kama siyo mwaka huu mwaka kesho J-31
Both J-20 na J-31 mtengenezaji ni China. China sasa hivi inatisha kwenye uwanja huo. Ndio maana uwanja umejengwa na china kwa standard za Jeshi la china. Usiombe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], naomba nijue kwanza kutua au kununuliwa?
Hiyo J-31 ni nani producer?
Hapo tako Sawa. Kwahiyo hizo zinakuja kutua tu au zitamilikiwa na TZ.?Both J-20 na J-31 mtengenezaji ni China. China sasa hivi inatisha kwenye uwanja huo.
Hizo zote zetu. Maana China na Tanzania ni marafiki wa kuaminiana. Usihofie running cost. Lengo ni kwamba Jeshi la Tanzania liwe na nguvu kubwa ili kuwezesha uchumi kukua kwa haraka. Halafu nasikia kuna mkakati wa kupata submarine mbili, kwa kiswahili wanasema Nyambizi. Usiombe ukutane na Tanzania kwa sasa ni noma sana.Hapo tako Sawa. Kwahiyo hizo zinakuja kutua tu au zitamilikiwa na TZ.?
Mbali na kushangilia Bajeti na running cost ya hizo Ndege unaijua?
Kwa hiyo zile SU 35 ulizoanza kuzinadi nazo vipi?Hizo zote zetu. Maana China na Tanzania ni marafiki wa kuaminiana. Usihofie running cost. Lengo ni kwamba Jeshi la Tanzania liwe na nguvu kubwa ili kuwezesha uchumi kukua kwa haraka. Halafu nasikia kuna mkakati wa kupata submarine mbili, kwa kiswahili wanasema Nyambizi. Usiombe ukutane na Tanzania kwa sasa ni noma sana.
View attachment 477664
Ila wewe nawe! Kwahiyo kukaa na siraha mpaka uwe unapigana vita,Tanzania kunaa vitaa au hzo ndege zinatusaidiajee km watanzania au unaweza kukodishia nchi zenye vita tukapata fedhaa..naomben kueleweshwa ndugu
Hawa wapuuzi ni wakupuuzwaKwahiyo unataka ufanyeje? Kwani Kikatiba wajumbe wa baraza la mawaziri ni akina nani? Mbona unakuwa mwehu hivyo.
Halafu nikuulize kikatiba je, katiba imesema rais aambatane na nani kwenye ziara zake za kiserikali?
Mbona unakuwa mpumbavu kiasi hicho. Acha utoto mwehu wewe.
Ukosefu wako wa adabu usiuoneshe wazi wazi. Uwe na adabu kwa viongozi wa nchi.
Su-35 ni za Russia na J-20, J-31 ni china. Unatakiwa kwanza uelewe kuwa technology ya fighter jet China katoa russia kutoka kwenye generation za MiG. Kwahiyo Generation ya SU-35 ambayo ni hatari sana zinaenda sambamba na hizi za china. Halafu isitoshe china anachukua za kutosha tu. Soma hapa sasaKwa hiyo zile SU 35 ulizoanza kuzinadi nazo vipi?
Ulitaka vitokee vita ndio tujenge uwanja miaka 4!!?Tanzania kunaa vitaa au hzo ndege zinatusaidiajee km watanzania au unaweza kukodishia nchi zenye vita tukapata fedhaa..naomben kueleweshwa ndugu
Muache kukurupukaNdoto ya viwanda ilishazikwa sasa ni ndege za kivita, anajiandaa na 2020?
Majtu yasiyo nashukrani, hubeza kila kitu mioyoni mwao yalishaugua ugonjwa wa UCHAMA yanapumlia mipira ya viongozi wao wanafiki wasiopenda kusikia jema upande wapili.Apo watahesabu kama kiwanda...
Tunaweza sasa kujenga HiiNaona watu wana ndoto zs Tanzania kumilika SU-35 kwa miaka hi ya karibuni.
Nia yangu sio kunionesha founder maana hayo yote nayajua na ndio maana nikakuuliza wakati unashangilia kuwa unajua ni Ndege za mwaka gani hizo?Su-35 ni za Russia na J-20, J-31 ni china. Unatakiwa kwanza uelewe kuwa technology ya fighter jet China katoa russia kutoka kwenye generation za MiG. Kwahiyo Generation ya SU-35 ambayo ni hatari sana zinaenda sambamba na hizi za china. Halafu isitoshe china anachukua za kutosha tu. Soma hapa sasa
MELBOURNE, Australia — China has taken delivery of the Sukhoi Su-35 “Flanker-E” fighter jet from Russia, according to Chinese state media.
The Chinese military confirmed that it took delivery of four Su-35s in late December, the English-language China Daily newspaper reported without providing further details.
China Receives First Advanced Su-35 Flankers From Russia
Huyo ni mkurupukaji tuIla wewe nawe! Kwahiyo kukaa na siraha mpaka uwe unapigana vita,
hivi unaweza jua kuwa leo navamiwa?
Ngoja basi nikurudie nikupe somo. SU-35 ni ndege hatari sana duniani usiombe tena nakwambia usiombe. Zinaenda head to head na F-22 ya USA.Nia yangu sio kunionesha founder maana hayo yote nayajua na ndio maana nikakuuliza wakati unashangilia kuwa unajua ni Ndege za mwaka gani hizo?
Lengo langu ukiri maneno yako ili yabaki kuwa kumbu kumbu humu, kuwa hizo Ndege pamoja na hizo J something zitamilikiwa na JWTZ
Wewe ni mtoto mdogo hujui lolote. Hebu jaribu kujisomea kwanza ili tuweze kwenda pamoja. Tuwe kwenye frequency sawa. Tanzania mpaka sasa inatumi MiG za Russia. Kwa transformation hii ya kuwa pamoja Russia na China ndiyo maana China na Russia wanaiamini sana Tanzania.Nia yangu sio kunionesha founder maana hayo yote nayajua na ndio maana nikakuuliza wakati unashangilia kuwa unajua ni Ndege za mwaka gani hizo?
Lengo langu ukiri maneno yako ili yabaki kuwa kumbu kumbu humu, kuwa hizo Ndege pamoja na hizo J something zitamilikiwa na JWTZ