Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

I must be arguing with a toddler ...
Hahaha naona umegonga mwamba. Kati yangu na wewe katoto kalikoanza kutmbea si wewe!?
Nataka unijibu je umeziona Amphibious Tanks za Tanzania? Kama hujaziona sema nikutumie photos.
 
Hujajibu swali langu au huwezi!!? TPDF ni number one Africa. Kama hutaki acha very simple. Mbona unajipa pressure kama muuza nyanya.
Sawa basi toto ..you are number one ..mmeshinda egypt ,south africa ,ethiopia ,nigeria ,algeria,morroco,kenya,tunisia ..all larger economies than yours ..good for you [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawa basi toto ..you are number one ..mmeshinda egypt ,south africa ,ethiopia ,nigeria ,algeria,morroco,kenya,tunisia ..all larger economies than yours ..good for you [emoji23][emoji23][emoji23]
Stop wrestling the pig buddy, we wont be able to tell the difference, huyu mama ni ana matatizo ya kiakili.
 
Hivi wewe unajua Su-35 lakini au unaleya nyimbo na mapambio?
Hebu nakutaka uniletee namna gani F-22 au J-20 zinazidi Su-35.

Nimekuonesha Tatizo la Syria la juzi juzi tu uweze kusoma. Nimekuwekea links bado huelewi. Su-35 ni technology ya mujini.
Sisi TZ tupo kwenye nchi hizi mbili (China na Russia). Ambazo zipo na deadly weapons. Kenya wapo na marekani.
Katika hizo Ndege mbili ni kipi kinachukuliwa kama advantage sana katika dogfight?
Hapa ndio nitajua unachoelewa na unacho kariri.
 
Nadhan 3 km ya uwanja wa ndege which is not bad kwa ndege za kivita.
 
Katika hizo Ndege mbili ni kipi kinachukuliwa kama advantage sana katika dogfight?
Hapa ndio nitajua unachoelewa na unacho kariri.
Wewe leta proof zako sio kukimbia kimbia tu. Naona propaganda za western zimekuingia sawa sawa. Nimekueleza battle ya Syria ya juzi tu. Naona unaleta nyimbo tu. Nikakueleza Iran wapo na SU-35 mpaka USA na member wake Israel wanagwaya. Iran anasema yeye hachokozi mtu lakini akichokozwa yupo tayari kujilinda. Sasa wewe unaongea tu. Leta hizo facts zako hapa.
 
Sawa basi toto ..you are number one ..mmeshinda egypt ,south africa ,ethiopia ,nigeria ,algeria,morroco,kenya,tunisia ..all larger economies than yours ..good for you [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwikwikwi sasa unaanza kuchekesha. Yaani Kenya inagongwa na wanamgambo wa Al shabab wenye mapanga na marungu!!? Yaani unanichekesha sana. TPDF is the best in Africa.
 
Wewe leta proof zako sio kukimbia kimbia tu. Naona propaganda za western zimekuingia sawa sawa. Nimekueleza battle ya Syria ya juzi tu. Naona unaleta nyimbo tu. Nikakueleza Iran wapo na SU-35 mpaka USA na member wake Israel wanagwaya. Iran anasema yeye hachokozi mtu lakini akichokozwa yupo tayari kujilinda. Sasa wewe unaongea tu. Leta hizo facts zako hapa.
Endelea ku gugo utaelewa nilichouliza na kwa nini nimekuuliza.
 
She seems to be a google lazy than a book reader.
Umeingia sasa kwa wenzako wewe twende twende tu. Nadhani kadiri tunavyoenda somo linakuingia utaenda kuwapa somo jirani zako.
 
Hapo wameeleza kabisa kwamba njia ya kuruka ndege ndio ina urefu wa 3000M

Wewe ndie umekosea kusema ndege yenye urefu wa 3000M
Labda iwe ni C5 galaxy military transport au antonov 255. But hapa tz.. hatua such a plane...
 
Endelea ku gugo utaelewa nilichouliza na kwa nini nimekuuliza.
Umeuliza kitu gani, wakati hujielewi huelewi chochote. Wewe tulia tu, nitakupatia somo safi. kotekote nakutwanga tu.
 
Back
Top Bottom