bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,146
Nadhani macho yangu yana matatizo, mbona uzi unasema kina urefu wa mita 3,000 na siyo ndege yenye urefu wa mita 3,000!Ndege yenye urefu wa mita 3000?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani macho yangu yana matatizo, mbona uzi unasema kina urefu wa mita 3,000 na siyo ndege yenye urefu wa mita 3,000!Ndege yenye urefu wa mita 3000?
I must be arguing with a toddler ...Hahahaha. Naona sasa unawewezeka. Data toka wapi nikuletee. Data zingine ni classified siyo kwaajili ya public. Hiyo taarifa inatosha kabisa vinavyofuata ni vitendo tu. Uliziona lakini Amphibious Tanks za TZ?
Mkuu kuna kisehemu huwa kinaitwa editNadhani macho yangu yana matatizo, mbona uzi unasema kina urefu wa mita 3,000 na siyo ndege yenye urefu wa mita 3,000!
Just shut up .. toddler .Hahaha naona umegonga mwamba. Kati yangu na wewe katoto kalikoanza kutmbea si wewe!?
Nataka unijibu je umeziona Amphibious Tanks za Tanzania? Kama hujaziona sema nikutumie photos.
Sawa basi toto ..you are number one ..mmeshinda egypt ,south africa ,ethiopia ,nigeria ,algeria,morroco,kenya,tunisia ..all larger economies than yours ..good for you [emoji23][emoji23][emoji23]Hujajibu swali langu au huwezi!!? TPDF ni number one Africa. Kama hutaki acha very simple. Mbona unajipa pressure kama muuza nyanya.
Stop wrestling the pig buddy, we wont be able to tell the difference, huyu mama ni ana matatizo ya kiakili.Sawa basi toto ..you are number one ..mmeshinda egypt ,south africa ,ethiopia ,nigeria ,algeria,morroco,kenya,tunisia ..all larger economies than yours ..good for you [emoji23][emoji23][emoji23]
Katika hizo Ndege mbili ni kipi kinachukuliwa kama advantage sana katika dogfight?Hivi wewe unajua Su-35 lakini au unaleya nyimbo na mapambio?
Hebu nakutaka uniletee namna gani F-22 au J-20 zinazidi Su-35.
Nimekuonesha Tatizo la Syria la juzi juzi tu uweze kusoma. Nimekuwekea links bado huelewi. Su-35 ni technology ya mujini.
Sisi TZ tupo kwenye nchi hizi mbili (China na Russia). Ambazo zipo na deadly weapons. Kenya wapo na marekani.
She seems to be a google lazy than a book reader.Just shut up .. toddler .
Wewe leta proof zako sio kukimbia kimbia tu. Naona propaganda za western zimekuingia sawa sawa. Nimekueleza battle ya Syria ya juzi tu. Naona unaleta nyimbo tu. Nikakueleza Iran wapo na SU-35 mpaka USA na member wake Israel wanagwaya. Iran anasema yeye hachokozi mtu lakini akichokozwa yupo tayari kujilinda. Sasa wewe unaongea tu. Leta hizo facts zako hapa.Katika hizo Ndege mbili ni kipi kinachukuliwa kama advantage sana katika dogfight?
Hapa ndio nitajua unachoelewa na unacho kariri.
Kwikwikwi sasa unaanza kuchekesha. Yaani Kenya inagongwa na wanamgambo wa Al shabab wenye mapanga na marungu!!? Yaani unanichekesha sana. TPDF is the best in Africa.Sawa basi toto ..you are number one ..mmeshinda egypt ,south africa ,ethiopia ,nigeria ,algeria,morroco,kenya,tunisia ..all larger economies than yours ..good for you [emoji23][emoji23][emoji23]
Endelea ku gugo utaelewa nilichouliza na kwa nini nimekuuliza.Wewe leta proof zako sio kukimbia kimbia tu. Naona propaganda za western zimekuingia sawa sawa. Nimekueleza battle ya Syria ya juzi tu. Naona unaleta nyimbo tu. Nikakueleza Iran wapo na SU-35 mpaka USA na member wake Israel wanagwaya. Iran anasema yeye hachokozi mtu lakini akichokozwa yupo tayari kujilinda. Sasa wewe unaongea tu. Leta hizo facts zako hapa.
Labda iwe ni C5 galaxy military transport au antonov 255. But hapa tz.. hatua such a plane...Hapo wameeleza kabisa kwamba njia ya kuruka ndege ndio ina urefu wa 3000M
Wewe ndie umekosea kusema ndege yenye urefu wa 3000M