Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Nataka vijana wajue sasa uhusiano wa China, Russia na Tanzania

Tanks.jpg

SNAFU!: Chinese Marines in Tanzania, Africa...
 
Wewe ni mtoto mdogo hujui lolote. Hebu jaribu kujisomea kwanza ili tuweze kwenda pamoja. Tuwe kwenye frequency sawa. Tanzania mpaka sasa inatumi MiG za Russia. Kwa transformation hii ya kuwa pamoja Russia na China ndiyo maana China na Russia wanaiamini sana Tanzania.

Halafu soma hapa kuhusu Su-35. Hizi ni ndege za kisasa kabisa ni vyema ukajisomea kuliko kukaa na kukosoa ukiwa mbumbumbu

Killer in the Sky: Russia's Deadly Su-35 Fighter
Naona unajitahidi kuhamisha magoli tu, unachoulizwa sicho unachojibu. Hayo yote unayo copy na ku paste nafahamu yanapopatikana. Na ndio maana hata nilipo kuuliza Bajeti na running cost ya J 20, umeishia kuleta ngonjera maana hizo data nilijua kuzipata kwake sio za haraka kama hizi za kubandua na kubandika.

Alafu umeongelea swala la udogo wangu, pengine unaweza kuwa sahihi kwani bi-mdash wako atakuwa amekusimulia maana ndio umenya "tango" daily.
 
Ona sasa unakohamia. Wewe ulikuwa unaponda SU-35 sasa nimekupa maelezo. Na zaidi sana nikakuweke reference ya huko Syria juzi juzi. Marekani alinywea kama paka kamwagiwa maji. Sasa unapoibuka na kuanza kupoda tu pasipo reference unadhani nitakuchagulia jina gani zaidi ya mbumbumbu!?
 
Alieandika mwanzoni kuna neno njia watu naona wanasema ndege yenye urefu
 
Uwanja ni wa kisasa na wa kipekee kusini mwa Jangwa la Sahara.
Viwanja vya namna hiyo ni viwili tu vimejengwa China na hiki kimoja hapa Tanzania.

"Kinaurefu wa mita 3,000, Upana mita 45 unene wa Sentimita 45"

MICHUZI BLOG: RAIS MAGUFULI AZINDUA UWANJA WA NDEGEVITA WA KAMBI YA NGERENGERE, MOROGORO

RAIS MAGUFULI AZINDUA UWANJA WA NDEGEVITA WA KAMBI YA NGERENGERE, MOROGORO | KAMANDA WA MATUKIO

View attachment 477530 View attachment 477531 View attachment 477532

NB: Watani zetu wakenya naona wanaendelea kukenua kenua meno.
Sasa Uwanja huu ndege matata za kivita mtaziona sio muda mrefu.
Vifaa kama hivi hapa chini nadhani vitapatikana hapa bongo

View attachment 477536

View attachment 477537

Tunataka punguzo la mfumuko wa bei hayo ya viwanja vya ndege vya kivita vya kisasa mi kama mtu wa kawaida inanisaidia nini?
 
Ona sasa unakohamia. Wewe ulikuwa unaponda SU-35 sasa nimekupa maelezo. Na zaidi sana nikakuweke reference ya huko Syria juzi juzi. Marekani alinywea kama paka kamwagiwa maji. Sasa unapoibuka na kuanza kupoda tu pasipo reference unadhani nitakuchagulia jina gani zaidi ya mbumbumbu!?
Rudi upya unisome vizuri kwa umakini na utulivu. Na pitia maswali niliyouliza. Hakuna sehemu nimeiponda SU 35, zaidi ya kukuambia ni ndege iliyonyuma kulinganisha na advanced ya technology kwa sasa katika masuala ya anga.
Yani ni Sawa utambe na Corolla cresta ya mwaka 92 wakati watu wanaongelea Carina Ti au ISt kwa sasa
Unajua South Africa wanatumia Ndege gani?
 
Yes ndio hivyo ulikuwa hujui?
Sasa mkisema nyinyi ni number one ...Egypt watasema nn ..leta evidence ati you are number one na sii some photos of your army ..real data (latest) ...sometimes unafaa ujue jf kuna mature people who are irked by your stupidity ...leta list ya african armies[emoji23] [emoji23] [emoji23] tuone tz iko wapi..ati no 1 ..wtf
 
Hivi wewe unajua Su-35 lakini au unaleya nyimbo na mapambio?
Hebu nakutaka uniletee namna gani F-22 au J-20 zinazidi Su-35.

Nimekuonesha Tatizo la Syria la juzi juzi tu uweze kusoma. Nimekuwekea links bado huelewi. Su-35 ni technology ya mujini.
Sisi TZ tupo kwenye nchi hizi mbili (China na Russia). Ambazo zipo na deadly weapons. Kenya wapo na marekani.
 
Sasa mkisema nyinyi ni number one ...Egypt watasema nn ..leta evidence ati you are number one na sii some photos of your army ..real data (latest) ...sometimes unafaa ujue jf kuna mature people who are irked by your stupidity ...leta list ya african armies[emoji23] [emoji23] [emoji23] tuone tz iko wapi..ati no 1 ..wtf
Haya sasa jimwage kuangalia hii video mpaka mwisho

Haya sasa jimwage kuangalia hii video mpaka mwisho

What is wrong with you ..leta official data ..list.. links ..mbona behave kitoto hivi..I want to know who rated you as number one in africa and how ...cos it looks like you think we are little kids [emoji23][emoji23]sasa video ya tz army about tz army ..propaganda...leta inteligence lists about your army ..
 
What is wrong with you ..leta official data ..list.. links ..mbona kunehave kitoto hivi..I want to know who rated you as number one in africa and how ...cos it looks like you think we are little kids [emoji23][emoji23]sasa video ya tz army about tz army ..propaganda...leta inteligence lists about your army ..
Hahahaha. Naona sasa unawewezeka. Data toka wapi nikuletee. Data zingine ni classified siyo kwaajili ya public. Hiyo taarifa inatosha kabisa vinavyofuata ni vitendo tu. Uliziona lakini Amphibious Tanks za TZ?
 
Back
Top Bottom