Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Uwanja wa kisasa wa Ndege za Kivita Wazinduliwa Morogoro Tanzania

Kwahiyo unategemea adui yako wa anga atatoka Africa tu?
Nasikia mwaka huu au mwaka ujao zinatua J-20 tatu na J-31 saba kutoka China Usiombe.

Nani hao hapa Africa? Hebu nitajie nchi moja. Halafu wewe unaongelea J-20 wakati TZ zinatua kama siyo mwaka huu mwaka kesho J-31
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], naomba nijue kwanza kutua au kununuliwa?
Hiyo J-31 ni nani producer?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23], naomba nijue kwanza kutua au kununuliwa?
Hiyo J-31 ni nani producer?
Both J-20 na J-31 mtengenezaji ni China. China sasa hivi inatisha kwenye uwanja huo. Ndio maana uwanja umejengwa na china kwa standard za Jeshi la china. Usiombe
 
Both J-20 na J-31 mtengenezaji ni China. China sasa hivi inatisha kwenye uwanja huo.
Hapo tako Sawa. Kwahiyo hizo zinakuja kutua tu au zitamilikiwa na TZ.?

Mbali na kushangilia Bajeti na running cost ya hizo Ndege unaijua?
 
HONGERA TZ kwa kujenga kiwanja cha ndege za vita ,
naomba mjenge viwanja kumi zaidi ndo muwe number 1 kivita Africa nzima
Tayari TZ ni namba moja Africa. Halafu ni namba 27 duniani. Tunaitafuta top ten duniani.
 
Hapo tako Sawa. Kwahiyo hizo zinakuja kutua tu au zitamilikiwa na TZ.?

Mbali na kushangilia Bajeti na running cost ya hizo Ndege unaijua?
Hizo zote zetu. Maana China na Tanzania ni marafiki wa kuaminiana. Usihofie running cost. Lengo ni kwamba Jeshi la Tanzania liwe na nguvu kubwa ili kuwezesha uchumi kukua kwa haraka. Halafu nasikia kuna mkakati wa kupata submarine mbili, kwa kiswahili wanasema Nyambizi. Usiombe ukutane na Tanzania kwa sasa ni noma sana.

Nyambizi.jpg
 
View attachment 477664
Kwa hiyo zile SU 35 ulizoanza kuzinadi nazo vipi?
Mi nimekuuliza Bajeti na running cost yake kama unaijua, sijasema kama unahofia au nahofia.
 
Tanzania kunaa vitaa au hzo ndege zinatusaidiajee km watanzania au unaweza kukodishia nchi zenye vita tukapata fedhaa..naomben kueleweshwa ndugu
Ila wewe nawe! Kwahiyo kukaa na siraha mpaka uwe unapigana vita,
hivi unaweza jua kuwa leo navamiwa?
 
Kwahiyo unataka ufanyeje? Kwani Kikatiba wajumbe wa baraza la mawaziri ni akina nani? Mbona unakuwa mwehu hivyo.
Halafu nikuulize kikatiba je, katiba imesema rais aambatane na nani kwenye ziara zake za kiserikali?
Mbona unakuwa mpumbavu kiasi hicho. Acha utoto mwehu wewe.

Ukosefu wako wa adabu usiuoneshe wazi wazi. Uwe na adabu kwa viongozi wa nchi.
Hawa wapuuzi ni wakupuuzwa
 
Kwa hiyo zile SU 35 ulizoanza kuzinadi nazo vipi?
Su-35 ni za Russia na J-20, J-31 ni china. Unatakiwa kwanza uelewe kuwa technology ya fighter jet China katoa russia kutoka kwenye generation za MiG. Kwahiyo Generation ya SU-35 ambayo ni hatari sana zinaenda sambamba na hizi za china. Halafu isitoshe china anachukua za kutosha tu. Soma hapa sasa

MELBOURNE, Australia — China has taken delivery of the Sukhoi Su-35 “Flanker-E” fighter jet from Russia, according to Chinese state media.

The Chinese military confirmed that it took delivery of four Su-35s in late December, the English-language China Daily newspaper reported without providing further details.
China Receives First Advanced Su-35 Flankers From Russia
 
Tanzania kunaa vitaa au hzo ndege zinatusaidiajee km watanzania au unaweza kukodishia nchi zenye vita tukapata fedhaa..naomben kueleweshwa ndugu
Ulitaka vitokee vita ndio tujenge uwanja miaka 4!!?
Hizi akili zingine hovyo kabisa
 
Naona watu wana ndoto zs Tanzania kumilika SU-35 kwa miaka hi ya karibuni.
 
Apo watahesabu kama kiwanda...
Majtu yasiyo nashukrani, hubeza kila kitu mioyoni mwao yalishaugua ugonjwa wa UCHAMA yanapumlia mipira ya viongozi wao wanafiki wasiopenda kusikia jema upande wapili.
Huu ugonjwa ni hatari sana tena zaidi ya SARATAN Poleni sana.
 
Su-35 ni za Russia na J-20, J-31 ni china. Unatakiwa kwanza uelewe kuwa technology ya fighter jet China katoa russia kutoka kwenye generation za MiG. Kwahiyo Generation ya SU-35 ambayo ni hatari sana zinaenda sambamba na hizi za china. Halafu isitoshe china anachukua za kutosha tu. Soma hapa sasa

MELBOURNE, Australia — China has taken delivery of the Sukhoi Su-35 “Flanker-E” fighter jet from Russia, according to Chinese state media.

The Chinese military confirmed that it took delivery of four Su-35s in late December, the English-language China Daily newspaper reported without providing further details.
China Receives First Advanced Su-35 Flankers From Russia
Nia yangu sio kunionesha founder maana hayo yote nayajua na ndio maana nikakuuliza wakati unashangilia kuwa unajua ni Ndege za mwaka gani hizo?

Lengo langu ukiri maneno yako ili yabaki kuwa kumbu kumbu humu, kuwa hizo Ndege pamoja na hizo J something zitamilikiwa na JWTZ
 
Ngoja basi nikurudie nikupe somo. SU-35 ni ndege hatari sana duniani usiombe tena nakwambia usiombe. Zinaenda head to head na F-22 ya USA.
Hii tukiwa nayo moja tu hapa bongo ni noma sana usifanye mchezo na Russia wewe. Iran wamepatiwa chache tu ndiyo maana Israel yupo kimya hapo mashariki ya kati anajua mziki wa hizo. Usiombe wewe

Soma hii taarifa

While Russian forces in the region are probably there to support Bashar al-Assad’s beleaguered regime against ISIS, without careful coordination with U.S. and allied forces operating in the region, there is a real danger of an inadvertent confrontation. That is why U.S. Defense Secretary Ash Carter made sure to call his Russian counterpart Sergei Shoygu to make certain that U.S. and Russian forces don’t accidentally find themselves in conflict. “The secretary and the minister talked about areas where the United States and Russia's perspectives overlap and areas of divergence,” states a Pentagon release. The timing of the call was slightly awkward because the Flankers showed up in Syria just hours after the conversation.

Russia's Su-30SM vs. America's F-22 Stealth Fighter in Syria: Who Wins?
 
Nia yangu sio kunionesha founder maana hayo yote nayajua na ndio maana nikakuuliza wakati unashangilia kuwa unajua ni Ndege za mwaka gani hizo?

Lengo langu ukiri maneno yako ili yabaki kuwa kumbu kumbu humu, kuwa hizo Ndege pamoja na hizo J something zitamilikiwa na JWTZ
Wewe ni mtoto mdogo hujui lolote. Hebu jaribu kujisomea kwanza ili tuweze kwenda pamoja. Tuwe kwenye frequency sawa. Tanzania mpaka sasa inatumi MiG za Russia. Kwa transformation hii ya kuwa pamoja Russia na China ndiyo maana China na Russia wanaiamini sana Tanzania.

Halafu soma hapa kuhusu Su-35. Hizi ni ndege za kisasa kabisa ni vyema ukajisomea kuliko kukaa na kukosoa ukiwa mbumbumbu

Killer in the Sky: Russia's Deadly Su-35 Fighter
 
Back
Top Bottom