We dada mi nakupenda mpk nahisi kuzimia!
Moyo wangu umeudondokea sina hata presha na trending za dunia!
Naona kama siku zangu zinahesabika nikikukosa.. pendo nililonalo kwa nguvu yake inaweza beba hata sayari zote!.. natamani hata nikuchukue tukaishi hata kwenye mbalamwezi.. jina lako tamu na haliishi hamu lanimulika kama jua linavyotumulika kutupatia mwanga wake upendezao!
Najitahidi kuvumilia pendo nililonalo juu yako lakini halivumiliki kama anga lisivyoweza kuziziba nyota zisionekane usiku!..
Upendo wako nitaulinda kama dunia inavyotulinda na vimondo!
Nitaliangamiza jinamizi la giza kama jua linavyoangamiza giza pindi lichomozapo!..
Natamani nikuhonge hata sayari na nyota zote zilizopo ulimwenguni ziwe mali yako!,lkn ni vile tu si vyangu!!