Uwanja wa kutoa yaliyo moyoni: Kero/dukuduku/Povu kwa mtu yeyote

Khaaa achana na mdogo wangu, tayari ameshawahiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa amepatwa na sio kuwahiwa😜
Aje hapa nimuonyeshe kombelo la mahaba lililojaa ubani lenye kunyunyuza furaha furani lenye tepe utepeni.. nimefunzwa vya unyago unyagoni ktk msitu wa miembeni.. hawezi akajutia maishani
 
Naona dudu uduvi umekuja kwenye kazi yako...
 
Imeisha hiyo 😂😂😂😂
😲😲
Unaacha mbachao kwa msala upitao..??
Ukipenda kusikiliza ya vikalagosi watakutia mikosi.. najua lazima tuishi kwa pochi ila tutaishije bila kumulika tochi..??
Vipali watakupalia mwali utakuja umia!

Watakuchagulia kila neno kwasababu wao hawana meno.
 
😂😂😂 Unavyoandika unanikumbusha STUNTER
 
Kakusikia mkuu! Naamini kabisa mpaka sasa mko p.m mnayajenga kiutu uzima
 
Kakusikia mkuu! Naamini kabisa mpaka sasa mko p.m mnayajenga kiutu uzima
Kuna wachawi wameniwangia huko juu!😠

Mkuu hiyo avatar yako ulilazimishwa kuiweka au..?
 
Kuna wachawi wameniwangia huko juu!😠

Mkuu hiyo avatar yako ulilazimishwa kuiweka au..?
😂😂😂 watu wengine nuksi tu mkuu.. siku zote walikuwa kimya! Akijitokeza mtu kuzungumza ya moyoni wanatia kauzibe. Usikute wanapaa hao usiku! Ila na mlengwa nadhani anauona ujumbe huu! Tafadhali jaribu kufikiria mara mbili mara tatu..
 
Katika maisha yangu ya jf sikudhani kama itafika wakati nimuweka mtu kwenye ignore list, ila nazidi kuona ignore list yangu inazidi kunona.
Mkuu usijisumbue na mtu, ukiona analeta manyota nyota mdumbukize huko. Maisha ni mafupi sana kiasi cha kuvumilia kero za bila mpango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…