Kwa hiyo mashindano ya Kimataifa sio kipaumbele chenu. Kipaumbele chenu ni mashindano ya ndani tu, mumfunge Ihefu, JKT Oljoro, MajiMaji FC, Moro United,Kariakoo ya Lindi, Reli FC ya Kigoma, Mwadui FC, Gwambina FC, Africa Lyon, Stand United, Ndanda FC, Lipuli FC, Toto Africa, Alliance Academy, Singida United, Mgambo JKT, Polisi Morogoro. Hao ndo wanyonge wenu kila mwaka mkiwafunga mnashangilia kama mmechukua kombe la Dunia. Na wachezaji wenu wanashangilia wanavua jezi hadi boxer kisa kafunga goli Utopolo ikicheza na Ndanda FC.
Mvua wiki hii ipo hata leo. Inanyesha mara mbilk kutwa. Kwa mwenendo huu wa wiki hii mvua kunyesha mara mbili matokeo yake ndio haya.View attachment 2128347
Umeona nimelinganisha dhidi ya pitch ya wapi? Unsjua maana ya kulinganisha? Kwahiyo wewe kwa mtazamo wako unaona uwanja wa Jamuhuri Morogoro una nyasi nzuri kuliko wa Manungu?