Uwanja wa mazoezi wa timu yenye uwekezaji mkubwa kuzidi Al Hilal

Uwanja wa mazoezi wa timu yenye uwekezaji mkubwa kuzidi Al Hilal

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
images (2).jpeg

images (1).jpeg

Uwanja wa timu kubwa kiuwekezaji kuliko Al Hilal. Uwanja umesheheni miundombinu yote pamoja na viwanja vya nyasi asilia na kapeti,gym, netball mpaka kiwanja kidogo cha ndege ya kuchukua timu.

2022-08-26.jpg
2020-01-20.jpg
Uwanja wa Al Hilal ukiwa umejaa mbigili tupu

My Take
Huyu msemaji akili zake amemkabidhi nani pale GSM?
 
View attachment 2374168
View attachment 2374169
Uwanja wa timu kubwa kiuwekezaji kuliko Al Hilal. Uwanja umesheheni miundombinu yote pamoja na viwanja vya nyasi asilia na kapeti,gym, netball mpaka kiwanja kidogo cha ndege ya kuchukua timu.

View attachment 2374171View attachment 2374172Uwanja wa Al Hilal ukiwa umejaa mbigili tupu

My Take
Huyu msemaji akili zake amemkabidhi nani pale GSM?
Yaani hiyo tarehe nane itakuwa aibu kwa Taifa aiseee sipati picha hapo Benjamin Grounds
 
Wenye akili ni wawili hii timu
huyu dogo alivyoingia tu utopoloni idadi ya wenye akili imebadilika na kuwa ilele
 
Kaunda yetu imekuwa Kama mashamba ya Chanika mvuti huko
 
Africa hapa hakuna timu yenye uwanja kama kaunda wewe. Kaunda ule uwanja ni multi-purpose uchumi wa Club ukiyumba timu inaweza kulima mpunga hapo vile vile wanaweza kufuga kambale wakapata kitoweo cha wachezaji. Msemaji yupo sahihi hakuna timu yenye uwekezaji mkubwa kama huu, huo uwanja wa Al Hilal huwezi kutumia mtumbwi kuingia uwanjani
 
WANA SIMBA TUKAMPGIE KURA BOULAYE DIA KWA WINGI [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom