Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Labda unazungumza shabiki Oya Oya ndo atasema Barbara Gonzalez hafai bila hoja yenye mantiki.Mbumbumbu katika ubora wako. Sasa hivi mko busy kuijadili Yanga! Tarehe 23 mkipokea kichapo kingine kutoka kwao, mnaanza tena kuwalalamikia akina Barabara na Matola, eti hawafai!!
Halafu hatahivyo, kwani kuna ulazima wowote kwenye sheria kuwa kiongozi lazima ukubaliwe na wote unaowaongoza?
Mbona Mshindo Msolla walikuwa wanamkataa baadhi na kufikia kusema ana Kadi ya Simba SC, mbona hakurudi nyuma na alisonga mbele mpaka ulipokuja utaratibu mwingine wa uongozi.
Naona unakariri sana vitu vyepesi kila uchao ambavyo ni kawaida kwenye nyanja zote za Uongozi yaani.