OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Wewe una tatizo la uelewa ni wapi Ali Kasema Yanga ina uwekezaji zaidi ya Al Hial? katika watu wapumbavu wewe ni numero uno
Yaani hiyo tarehe nane itakuwa aibu kwa Taifa aiseee sipati picha hapo Benjamin GroundsView attachment 2374168
View attachment 2374169
Uwanja wa timu kubwa kiuwekezaji kuliko Al Hilal. Uwanja umesheheni miundombinu yote pamoja na viwanja vya nyasi asilia na kapeti,gym, netball mpaka kiwanja kidogo cha ndege ya kuchukua timu.
View attachment 2374171View attachment 2374172Uwanja wa Al Hilal ukiwa umejaa mbigili tupu
My Take
Huyu msemaji akili zake amemkabidhi nani pale GSM?
FT Uto 0- 2 Al HilalYaani hiyo tarehe nane itakuwa aibu kwa Taifa aiseee sipati picha hapo Benjamin Grounds
Kumbe alisemajeWewe una tatizo la uelewa ni wapi Ali Kasema Yanga ina uwekezaji zaidi ya Al Hial? katika watu wapumbavu wewe ni numero uno
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Aibu yako ipo karibu tulia hiki kiherehere kitakuishaKumbe alisemaje
Jiandeni kutafta sababu nyingine hawa mnao watia kichwa tuna wanyooshaTatzo la huyo dogo anaiga afu anaongea kwa kuigiza
Tatizo huwa hajitambuiWewe una tatizo la uelewa ni wapi Ali Kasema Yanga ina uwekezaji zaidi ya Al Hial? katika watu wapumbavu wewe ni numero uno
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Kama wewe sio mjinga seme alisemaje.Aibu yako ipo karibu tulia hiki kiherehere kitakuisha
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tuwekee na zile takwimu zako za Kibu Denis Vs Mayele.FT Uto 0- 2 Al Hilal