Uwanja wa mazoezi wa timu yenye uwekezaji mkubwa kuzidi Al Hilal

Mbumbumbu katika ubora wako. Sasa hivi mko busy kuijadili Yanga! Tarehe 23 mkipokea kichapo kingine kutoka kwao, mnaanza tena kuwalalamikia akina Barabara na Matola, eti hawafai!!
Labda unazungumza shabiki Oya Oya ndo atasema Barbara Gonzalez hafai bila hoja yenye mantiki.

Halafu hatahivyo, kwani kuna ulazima wowote kwenye sheria kuwa kiongozi lazima ukubaliwe na wote unaowaongoza?

Mbona Mshindo Msolla walikuwa wanamkataa baadhi na kufikia kusema ana Kadi ya Simba SC, mbona hakurudi nyuma na alisonga mbele mpaka ulipokuja utaratibu mwingine wa uongozi.

Naona unakariri sana vitu vyepesi kila uchao ambavyo ni kawaida kwenye nyanja zote za Uongozi yaani.
 
Nitakuja kuwakumbusha mkianza yale makelele yenu ya kumkataa Matola na Barbara. Muda huu endeleeni tu na dua lenu la kuku dhidi ya Wananchi.
 
Nitakuja kuwakumbusha mkianza yale makelele yenu ya kumkataa Matola na Barbara. Muda huu endeleeni tu na dua lenu la kuku dhidi ya Wananchi.
Yanga lazima amanuliwe na mwarabu tena kwa staili ile ile ya nje ndani
 
Hivi hii gemu itachezwa lini ?
Nishachoka na tambo za wapiga debe ifike mwisho tujue mbivu na mbichi
 
Wenye akili ni wawili hii timu
huyu dogo alivyoingia tu utopoloni idadi ya wenye akili imebadilika na kuwa ilele
πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜€Nakwenda Kuchekea Chooni Tu
 
Hapo tayari tumesha pima uwezo wa akili wa msemaji wao mpya ya kuwa mbali na yale aliyokuwa akiyachambua enzi akiwa mchambuzi ..kumbe jamaa akili zake haziko sawa...πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Aaah kabisa yaani, mfano hifadhi ya taifa ya MBU Muhimbili (Muhimbili National Park) hiki ni kivutio kikubwa Africa na dunia chanzo chake ni Jangwani.
 
Sudan wamepitia vita sana, hongera sana kwa Al Hilal. Upande mwingine below the level
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…