Uwanja wa Mkapa | Kombe la ASFC, Simba SC 2 - 1 Kagera Sugar

Ila Simba mjue Sio Poa,Wenzenu Uto Wanaombea Japo mpoteze............SASA NDO NINI MNASHINDA MFULULIZO..!! ?
Injinia mnamuweka kwenye Wakati mgumu sana maana alishasema Mambo yooote yanahusiana na kukosa Kombe aulizwe Yeye....! Sasa Swali lenu Utopolo muda wa Kuliuliza unakaribia maana dalili hapa hakuna Kombe Lolote sio VPL Wala FA...! Be Ready..!
 
Hapana Mkuu uongozi hawajui msimu wa mvua wanunue viatu.Maalumu kwa utelezi kipindi hiki cha mvua Dar
Ni wakati Sasa Simba kufanya mazoezi kwenye tindiga

Wanachama tusiwe na presha ya matokeo
 
Goli ka pili la simba ni off side
 
[emoji1474].....ila Kagera mpira waliocheza first half leo, inashangaza wanakuwaje nafasi ya 16 kwenye msimamo wa VPL!
Timu zinaipania sana Simba na huo ndio ukubwa wa Simba. Mchezaji pinzani lazima aonyeshe uwezo ili apate kujitangaza zaidi.
 
nadhani makadirio ya kocha ilikua kupata mabao ya mapema halafu kipindi cha pili kiingie kikosi kwa ajili ya ku defense ushindi
Ulisema kipindi cha pili kikosi kiingie kwa ajili ya kufanyaje eti?
 
Hivi utopolo tukimla kichwa trh 8 si ndo tunakua tunatangazwa machampioni kwa mara ingine tena? Au kutakua na mechi ya kusubiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…