Uwanja wa Mkapa | Kombe la ASFC, Simba SC 2 - 1 Kagera Sugar

Uwanja wa Mkapa | Kombe la ASFC, Simba SC 2 - 1 Kagera Sugar

Tulia ww wasubilini Kaiza Chiefs waje kuwanyoa hivi vimechi vidogo havina maana
Unaizungumzia Kaiza iliyopita kimazabe baada ya Waydad kupeleka timu B?

20210501_211815.jpg
 
[emoji1474].....ila Kagera mpira waliocheza first half leo, inashangaza wanakuwaje nafasi ya 16 kwenye msimamo wa VPL!
 
Back
Top Bottom