Uwanja wa Mkapa | Kombe la ASFC, Simba SC 2 - 1 Kagera Sugar

Uwanja wa Mkapa | Kombe la ASFC, Simba SC 2 - 1 Kagera Sugar

Tarehe 8 Lwanga anakufa full na Mkude,sijui watapita wapi Utopolo
Tatizo la Mkude kwenye kukaba mara nyingi anakuwa mbali na matukio leo kagera walikuwa wanapita upande wake na Shabalala, hata lile goli alilokosa Mayanga wakati Lwanga yuko golini kuzuia yeye alikuwa nje ya 18 ajitahidi kukaba
 
Timu kubwa kwenye pitch zaidi ya Simba sasa hivi ni Barca, Real, Man City, hao wengine Al Ahly, Sundowns, Zamalek, Esperance tuko nao sawa.
Kaiser atakapo wapiga Simba mkono ndiyo mtajua kuwa level yenu transit camp
 
Back
Top Bottom