Uwanja wa Mkapa | Kombe la ASFC, Simba SC 2 - 1 Kagera Sugar

ugumu wa mechi umesababishwa na ubovu wa uwanja
 
wawaaaaaa......... dah kipa kacheza
 
45' Goooooooooooooooooooooal

Mwijage anaipatia Kagera Sugar bao la kwanza

Simba SC 0-1 Kagera Sugar
 
Timu kubwa kama Simba hawana viatu vya wakati wa mvua ni aibu.
 
Simba wapunguze pass. Kagera inacheza pass chache sana kufika golini
kwa situation ya uwanja mpira wa pass haufai, namuona mara kadhaa chama akipoteza mipira kindezi kwa vyenga vyake

ngoja tuone maoni ya mwalimu kipindi cha pili
 
Game plan ya timu inayokaa nyuma huwa inatupa shida sana Simba.. Aingie Boko na Mugalu kisha tuanze mipira ya Cross..

Lazima tuongeze idadi ya washambuliaji katika BOX la Kagera
 
Biriani limekataa kwasababu ya uwanja

Sasa toa Bwalya na Mkude weka Bocco na Mzamiru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…