Uwanja wa Mkapa | Kombe la ASFC, Simba SC 2 - 1 Kagera Sugar

Uwanja wa Mkapa | Kombe la ASFC, Simba SC 2 - 1 Kagera Sugar

Timu kubwa kama Simba hawana viatu vya wakati wa mvua ni aibu.
mkuu hivi haviruhusiwi

1619887920692.png
 
Yule kipa alivyopewa Yellow, nilijua Goli litatuhusu WanaSimba!
 
Kipindi cha pili kimeanza uwanja wa Mkapa

Ametoka Taddeo na ameingia Morrison
 
kulikua na haja gani ya kuanza na kikosi chote cha kwanza !?? ukizingatia tuna mechi za muhimu mbeleni. mechi kama hizo ndio za kuwapa vijana wengine waonyeshe uwezo wao

Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani makadirio ya kocha ilikua kupata mabao ya mapema halafu kipindi cha pili kiingie kikosi kwa ajili ya ku defense ushindi
 
Back
Top Bottom