Uwanja wa Mkapa | Kombe la ASFC, Simba SC 2 - 1 Kagera Sugar

Uwanja wa Mkapa | Kombe la ASFC, Simba SC 2 - 1 Kagera Sugar

Kagere aondoke tu huu msimu ukiisha

Msaada wake ni mdogo sana kwenye timu
 
Kagere aondoke tu huu msimu ukiisha

Msaada wake ni mdogo sana kwenye timu
ameshasaini tayari

Screenshot_20210501-202508_Chrome.jpg
 
67' Kagere Gooooooooooooooaaal Gooooooooooooaaal

Maddie Kagere anaipatia Simba SC bao la pili kufuatia pasi ya Morrison

Simba SC 2-1 Kagera Sugar
 
Back
Top Bottom