Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Woyooooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MK14 kumsema tu kazinduka akatupia goli.goaaaaaal
Nyie ndio mashabiki uchwara......Wanafiki na wazandiki...mnakwenda na upepoMeddie Kagere
I apologize 🙁
Hayo ni matusi makali mkuu, sema mashabiki wenye mioyo myepesiNyie ndio mashabiki uchwara......Wanafiki na wazandiki...mnakwenda na upepo
Pathetic
Acha Simba kwenye FA isonge mpaka tukutane na Mwajuma ndalandefu,apigwe VPL na FA pia apigwe.Hii Simba INATAKIWA ikacheze na Bayern Munich Kwa kweli.hawa wengine sio level zake
Pia minakutetea.maranyingi umekua ukitaka MK14 aanze na asikose namba.Hayo ni matusi makali mkuu, sema mashabiki wenye mioyo myepesi
Ajirekebishe hasira zake za karibu za kukurupuka.Morison ni mchezaji mzuri sna
wameshinda goli ngapi?Hii Simba INATAKIWA ikacheze na Bayern Munich Kwa kweli.hawa wengine sio level zake
Simba ni kubwa pia.Gomez Ni Kocha, Anafanya Sub Za Akili Sanaa na malengo huyu Kocha Alistahili kuwa Timu kubwa zaidi ya Simba
Robo fainaly wapangwe Simba na Yanga. Maana Yanga anaweza kuruhus kufungwa makusudi asifike fainali tukamkosa njianikagera watupie la pili kazi iishe.
kwenda wapi?Hilo goli la kusawazisha ni clear offside, tuna safar ndefu sana