Yule mfalme alikuwa ni tapeli, kama kweli alikuwa na nia ya kujenga huo uwanja, angeujenga kipindi kile kile cha dhalimu maana aliitoa ahadi ile muda mrefu.Angalia hii Picha afu nambie iwapo mwamba angekuwa hai Dodoma pangekuwa pamefikia hatua gani?
Ujenzi huu ulitakiwa Kuanzia mara baada tu ya Ujenzi w msikiti wa BAKWATA pale Kinondoni. Mfadhiri alishaahidi kutoa pesa.. mfalume wa Morocco.
Ushauri wangu kwa Ikulu; Fuatilieni hii ahadi.
View attachment 2630021
Isijekuwa alipewa akazihamishia miradi ya kuijenga Chato?Mimi naona Serikali iingilie tu kati kuujenga huo uwanja. Maana yule Mfalme wa Morocco alimuingiza chaka mbaya Rais wetu wa wakati huo.
ameshaujenga pale kaburini kwake Chato, kameze sumu ya panya sasa hivi utauona huo uwanjaAngalia hii Picha afu nambie iwapo mwamba angekuwa hai Dodoma pangekuwa pamefikia hatua gani?
Ujenzi huu ulitakiwa Kuanzia mara baada tu ya Ujenzi w msikiti wa BAKWATA pale Kinondoni. Mfadhiri alishaahidi kutoa pesa.. mfalume wa Morocco.
Ushauri wangu kwa Ikulu; Fuatilieni hii ahadi.
View attachment 2630021
Angekuwepo ungejengwa na fedha zetu wenyewe au hata JKT wangeujengaMimi naona Serikali iingilie tu kati kuujenga huo uwanja. Maana yule Mfalme wa Morocco alimuingiza chaka mbaya Rais wetu wa wakati huo.
Umejiona umeaandiikaaa, kumbe utumbo tupu.Kwani mpaka useme flani angekuwepo. Hivi mlilogwa na nani Watanzania au huyo unaemsema yeye alikuwa na utofauti gani na wanadamu wengine. Kwani wewe unashindwa nini kufuatilia hizo pesa Uarabuni uje ujenge huo uwanja au na wewe umeshakufa. Kuamini kwamba bila mtu flani huwezi lolote ni uzwazwa wa kumuabudu binadam mwenzio. Unatakiwa kupaza sauti ili hayo unayotaka yatimie ila siyo kulalamika na kusema bora angekuwepo flani. Kwa hiyo Viongozi waliopo madarakani kwa sasa huoni wanayofanya au unataka huyo Mwarabu aitwe aje Tz kujibu kwa nini hajengi uwanja. Kumbuka hizo zilikuwa ahadi na pesa ni zake huwezi kumpangia. Km angekuwa ametoa pesa taslim na uwanja haujahengwa hapo ndiyo ungekuwa na nguvu ya kulaum na kutamani aliepita bora angekuwepo lakini siyo kwa ahadi hewa za Mwarabu. Tuache mahaba niue kwenye mambo ya kitaifa.
Hujasikia juzi wamezidisha USD 3B kwenye silaha wanazopeleka Ukraine? Waliposhtukiwa wakasema wamekosea tarakimu kwenye uandishi? Nao ni wezi tu!Yule mfalme alikuwa ni tapeli, kama kweli alikuwa na nia ya kujenga huo uwanja, angeujenga kipindi kile kile cha dhalimu maana aliitoa ahadi ile muda mrefu.
Huo utapeli naufananisha na ule utapeli wa Obama aliyesema atatoa $7b kipindi cha JK ili kujenga power pull ambayo itasambaza umeme sehemu kubwa ya Tanzania, na ziada kuuzwa nchi za kusini mwa Afrika.
Alijazwa nae akajaa🤣🤣Angalia hii Picha afu nambie iwapo mwamba angekuwa hai Dodoma pangekuwa pamefikia hatua gani?
Ujenzi huu ulitakiwa Kuanzia mara baada tu ya Ujenzi w msikiti wa BAKWATA pale Kinondoni. Mfadhiri alishaahidi kutoa pesa.. mfalume wa Morocco.
Ushauri wangu kwa Ikulu; Fuatilieni hii ahadi.
View attachment 2630021
Hakuna wa kufanya haya mambo.. Hata ikulu asingeianza ingefia hapo hapo.. Hata SGR, na Bwawa la nyerere lingefika ndotoni.Yule mfalme alikuwa ni tapeli, kama kweli alikuwa na nia ya kujenga huo uwanja, angeujenga kipindi kile kile cha dhalimu maana aliitoa ahadi ile muda mrefu.
Huo utapeli naufananisha na ule utapeli wa Obama aliyesema atatoa $7b kipindi cha JK ili kujenga power pull ambayo itasambaza umeme sehemu kubwa ya Tanzania, na ziada kuuzwa nchi za kusini mwa Afrika.
inawezekana kabisa wala hujakoseaIsijekuwa alipewa akazihamishia miradi ya kuijenga Chato?
FaizaFoxy katika ubora wakeeee.... wewe unatakiwa kuformat huo ubongo uanze upyaa.. Miaka ya 2010+ ulikuwa mtu wa kukimbilia hapa JF.Isijekuwa alipewa akazihamishia miradi ya kuijenga Chato?