BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Tatizo lako umetawaliwa na mahaba na chuki zisizo na faida ktk maisha yako. Siwezi kuendelea kubishana na wewe maan tayari nimeshakujua unachosimamia na unachoabudu.Umejiona umeaandiikaaa, kumbe utumbo tupu.
Elewa tu kila mtu amepewa uwezo wake wa namna ya kufikili na kutekeleza mambo.. Kama hulielewi hili utabaki na mawazo yako hayo ya kuzani wote tuko sawa.
Uongozi uliopo ufanye jukumu la kufuatilia ahadi hii.. kama ni ahadi hewa basi waje watuambia. La sivyo tutawaona kama walamba asali tu.