Uwanja wa Mpira Dodoma umeyeyuka? Hayati Magufuli angekuwepo ingekuwaje?

Tatizo lako umetawaliwa na mahaba na chuki zisizo na faida ktk maisha yako. Siwezi kuendelea kubishana na wewe maan tayari nimeshakujua unachosimamia na unachoabudu.
 
Kamfufue aje kujenga..... huo uwanja uliahidiwa tangia 2016 lakini kwa miaka yote haikujengwa mpaka Magufuli anakufa mwaka 2021 na ukaona ni sawa, leo hii ndio unakumbuka kuhoji
Msukule wa Chato
 
Ni kweli huo uwanja inatakiwa kuhojiwa ila Hoja yake imepoteza uzito baada ya kuonyesha siasa za u-team na kuabudu mtu, ambaye naye alikwama kuutekeleza kwa kipindi kirefu
 
Isijekuwa alipewa akazihamishia miradi ya kuijenga Chato?
Yule Mfalme Ni Janjajanja Nyingi Tu, Hakutoa Cash Yoyote
Alichotoa Ni Ile Cash Ya Msikiti Pale Kinondoni Nayo Pia Ndani Ina Ukakasi Kidogo
 
Irrelevant.
 
Mnashabikia vitu visivyo kuwa na tija, Badala muwaze wakulima.wanawezeshwa vipi au Graduate wanawezesheswa vipi mnawaza viwanja?

Kwa zile nchi wanazo tupa misaada mambo ya viwanja ni kazi ya private company na sio Serikali
 
Mimi naona Serikali iingilie tu kati kuujenga huo uwanja. Maana yule Mfalme wa Morocco alimuingiza chaka mbaya Rais wetu wa wakati huo.
Una toja gani? Usha wahi kuwaza Serikali iingile kato kutoa mikopo kwa Graduatevwalio jazana mitaani? Akili za ajabu sana hizi, Impact ya huo uwanja ni ipi kwa uchumi wa nchi?
 
Mnashabikia vitu visivyo kuwa na tija, Badala muwaze wakulima.wanawezeshwa vipi au Graduate wanawezesheswa vipi mnawaza viwanja?

Kwa zile nchi wanazo tupa misaada mambo ya viwanja ni kazi ya private company na sio Serikali
Na wewe anzisha huo Uzi Wala hujakatazwa. Hata tunakumbusha pesa ambayo tayari ipo kwa mfalme.
 
Tatizo lako umetawaliwa na mahaba na chuki zisizo na faida ktk maisha yako. Siwezi kuendelea kubishana na wewe maan tayari nimeshakujua unachosimamia na unachoabudu.
Kukumbusha ni chuki?
 
Msikiti ushajengwa, hiyo nyingine ziada...
 
ANGEYEYUKA.
 
Hauna maana japo ungeanza kujengwa Kwa jinsi yule Jamaa anavyopenda vitu visivyo na Tija Kwa watu wengi lazima saizi ungeanza kujengwa..
 
Uwanja wao wenyewe wa Mohammed V haufikii huo. Halafu uwanja wa mpira hakitakiwi kuwa kipaumbele huko Dodoma kwa sasa bali miundombinu ya kisasa kuwezesha serikali ifanye kazi kwa ufanisi.
 
Kukumbushia siyo shida, shida ni kusema angekuwa flani angekuwa ameshafanya. Maanake ni kuwa waliopo hawafai
Kwani huoni huo uwanja wameuzika wakati Ramani hiyo hapo mwamba kapiga nayo picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…