Dollar billion 352 au sio?Nadhani watakuwa wame koti bei Kwa Dola ,haya ndio madhara yake Kila mtu na ukokotozi wake
Sio 12 ni Watazamaji 32 walio kaa vitini.Pigeni hela pigeni hela nchi ishauzwa hii.....
Viongozi waseng.e mji kama dodoma unaokuwa kwa kasi unajengaje uwanja wa watu 12k ?
Vipaumbele ni tatizo Kwa nchi zetu za Dunia ya tatu..tunatumia Trillions kujenga viwanja vya mpira?
..Ni zaidi ya daraja la Kigongo-Busisi!!
..vipaumbele vyetu viko sawasawa?
sorry,kadri ulivyonielewa unaweza ukaelimisha jamii ya humu jukwaani. karibu mkuuWewe ngumbaru "return of investment" ni nini?
Usiniambukize ujinga hapa.
Nimeshaandika sana, wapi ambapo hujaelewa?sorry,kadri ulivyonielewa unaweza ukaelimisha jamii ya humu jukwaani. karibu mkuu
Itabeba raia 32,000My Take
Bilioni 310 ni gharama ndogo ,Watazamaji wa Kukaa 32,000 tuu?
Bora tungejenga taratibu taratibu ila uwanja ambao walau utabeba Watazamaji 45,000.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DGBA_VYO4-2/?igsh=cWhiZG1pMXZtZDE0View attachment 3235532View attachment 3235533View attachment 3235534View attachment 3235535View attachment 3235536View attachment 3235537View attachment 3235538View attachment 3235539
Pia soma Bilioni 286 kujenga uwanja Mpya wa 'Samia Suluhu Hassan Arusha Stadium' Kwa ajili ya AFCON 2027
serikali imepitisha rasmi sasa ujenzi wa uwanja huo,je una chochote cha kushauri,maoni na nyongeza juu ya uwanja huu? cc: KirangaNimeshaandika sana, wapi ambapo hujaelewa?
Kwanza, sijapiga vita ujenzi wa kiwanja cha mpira, nilisisitiza umuhinu wa mfumo wa kujenga viwanja kibiashara zaidi na umuhimu wa kupata "return on ivestment" na uwanja kuweza kujiendesha wenyewe kibiashara, as opposed to kutegemea ruzuku za serikali.
ahsante.Ushauri ili iweje wakati serikali ishaamua kwenda kule ambako mimi sitaki?
serikali imepitisha rasmi sasa ujenzi wa uwanja huo,je una chochote cha kushauri,maoni na nyongeza juu ya uwanja huu? cc: Kiranga
Ndio wanaojenga..sekta binafsi hawawezi kujenga huo uwanja?
..billion 300 kujenga uwanja wa mpira ni matumizi mabaya ya fedha za umma.
Ndio wanaojenga
Government itawalipa