Uwanja wa Mpira Dodoma Utagharimu Bilioni 310. Utabeba Watazamaji 32000

Uwanja wa Mpira Dodoma Utagharimu Bilioni 310. Utabeba Watazamaji 32000

Mtoa mada, mbona nimeisoma hiyo Taarifa Kwa kuirejea, nimekuta ni watazamaji Elfu 32 waliokaa

Wewe hao Elfu 12 umeitoa wapi??

Anyways, huu ni Mwaka wa Uchaguzi

Kwahiyo huenda wakubwa wanatafuta hela za kushinda Uchaguzi Kwa kuongeza gharama za Ujenzi 🙌

Tusisahau "Kila mtu kula Kwa urefu wa Kamba yake"
Typing error
 
My Take
Yaani Bilioni 310 ndio Watazamaji wa Kukaa 32,000 tuu?

Bora tungejenga taratibu taratibu ila uwanja ambao walau utabeba Watazamaji 45,000.👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DGBA_VYO4-2/?igsh=cWhiZG1pMXZtZDE0
View attachment 3235532View attachment 3235533View attachment 3235534View attachment 3235535View attachment 3235536View attachment 3235537View attachment 3235538View attachment 3235539

Swali: Iweje Uwanja wa Arusha Ugharimu Bilioni 286 na uwe na Capacity kubwa (30,000 seaters) kushinda Dodoma ambayo inagharimu pesa nyingi? Wataalamu watupe ufafanuzi Bilioni 286 kujenga uwanja Mpya wa 'Samia Suluhu Hassan Arusha Stadium' Kwa ajili ya AFCON 2027

Taarifa yako ina 12,000 ila kipeperushi cha tbc online kinaonyesha 32,000.
Ipi taarifa sahihi?
 
Masikini Tanzania bandari ya bagamoyo mafisadi waichukua😕
 
Attachments

  • 20250213_171101.jpg
    20250213_171101.jpg
    104.5 KB · Views: 1
Mtoa mada, mbona nimeisoma hiyo Taarifa Kwa kuirejea, nimekuta ni watazamaji Elfu 32 waliokaa

Wewe hao Elfu 12 umeitoa wapi??

Anyways, huu ni Mwaka wa Uchaguzi

Kwahiyo huenda wakubwa wanatafuta hela za kushinda Uchaguzi Kwa kuongeza gharama za Ujenzi 🙌

Tusisahau "Kila mtu kula Kwa urefu wa Kamba yake"
Typing error,mods warekebishe
 
Pana wizi mkubwa sana watu wapo kwenye kujenga viwanja vikubwa vya kuingiza watu laki bado tunajengewa tandika mabatini dodoma ni jiji bunge wapo wanakenua tu!
 
Inaonekana mtoa taarifa hakutoa taarifa yake vizuri, hivyo Kila mmoja kuja na gharama zake.

Ndiyo maana inashauriwa baada ya uwasilishaji wa taarifa hasa za Serikali, mwisho wa taarifa uwape kopi ya hiyo taarifa Waandishi wa habari ili kuondoa aina hiyo ya sintofahamu
Nadhani watakuwa wame koti bei Kwa Dola ,haya ndio madhara yake Kila mtu na ukokotozi wake
 
Nadhani watakuwa wame koti bei Kwa Dola ,haya ndio madhara yake Kila mtu na ukokotozi wake
Huenda, ndiyo maana nimesema Kuna haja Waandishi wa habari wawe wanapewa taarifa kamili ili kuwasaidia kuondoa hizo sintofahamu.

Baadhi ya Waandishi wengine huwa ni kama wanakuwa na Uelewa mdogo

Vyema wasaidiwe
 
Back
Top Bottom