Wewe utajenga kwa shilling ngapi? weka kiasi unachodhani ni sahihi tujadili. Kama wewe ndio mkandarasi utaweka kiasi gani tupe hapa tujuwe...BILLIONI 310?
..sio sahihi hata kidogo.
..tulitaka nani wajenge? Hata CCM wana viwanja vya mpira, ikiwemo Kirumba.