ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #21
Typing errorMtoa mada, mbona nimeisoma hiyo Taarifa Kwa kuirejea, nimekuta ni watazamaji Elfu 32 waliokaa
Wewe hao Elfu 12 umeitoa wapi??
Anyways, huu ni Mwaka wa Uchaguzi
Kwahiyo huenda wakubwa wanatafuta hela za kushinda Uchaguzi Kwa kuongeza gharama za Ujenzi 🙌
Tusisahau "Kila mtu kula Kwa urefu wa Kamba yake"