Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tangu ahadi hii itolewa,nadhani sasa ni miezi tisa inakatika huku hakuna kinachoendelea kuhusu ujenzi wenyewe na kwa wale wanaotumia barabara ya Dar-es-Salaam kwenda Dodoma, watakuwa ni mashahidi wazuri kwani lile eneo lilliotengwa kwa ajli ya ujenzi wa uwanja huo liko tu na hamna kinachoendelea.
Sasa najiuliza hivi ahadi ya kujenga huo uwanja ipo na kama ipo, utajengwa eneo la Nzuguni kama ilivyotangazwa au watarudisha ujenzi huo eneo la Nala kama ilivyokuwa imepangwa awali?
Au serikali haitaki kuwa wazi ili viwanja vinavyouzwa eneo la Nzuguni vipate soko na viendelee kuuzwa kwa bei kubwa?
Ujenzi wa uwanja huu ulipangwa kutuchukua muda wa miaka miwili na nusu na kwamba ulipangwa kukamilika mwaka 2021 huku Rais akitaka ujenzi huo uanze haraka na kwamba alikuwa tayari kuchangia chochote (maelezo ya Injinia Patric Mfugale kwa waandishi wa habari).
Nawaomba waheshimiwa Wabunge waiulize serikali Bungeni katika Bunge lijalo litakaloanza mwezi January juu maendeleo ya utekelezaji wa ahadi hii ya Mfalme wa Morocco wa kujenga uwanja wa soka hapa nchini.
Uwanja wenyewe ni huu katika picha:
Picha za makabidhiano ya ramani ya uwanja Ikulu:
Video: