Uwanja wa mpira ulioahidiwa kujengwa na Mfalme wa Morocco utajengwa kweli? Na kama utajengwa, utajengwa eneo la Nzuguni kama tulivyoambiwa?

Uwanja wa mpira ulioahidiwa kujengwa na Mfalme wa Morocco utajengwa kweli? Na kama utajengwa, utajengwa eneo la Nzuguni kama tulivyoambiwa?

Habari wakuu,

Itakumbukwa miaka michache iliyopita chini ya utawala wa awamu ya tano tuliwahi kutembelewa na ugeni wa mfalme kutoka Moroco.

Tuliahidiwa kujengewa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu makao makuu jijini Dodoma.

Ni siku nyingi sijasikia lolote kuhusiana na uwanja huo, enyi wananchi wazalendo mlioko Dodoma tunaomba mtupatie update za ujenzi uwanja huo umefikia wapi.

Shukrani nyingi kwa mfalme wa Morocco
 
Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS
 
Mkuu umepotosha kwenye bei ya viwanja Nzuguni sababu sio uwanja bali Nzuguni ni eneo lililopo katikati ya Jiji la DODOMA ila lilichelewa kupimwa na bei ni kawaida sana milion 3-8 kwa eneo lenye stendi kuu ya mabasi na soko la kimataifa ni bei cheap sana. Uje nikuuzie usije ukapigwa na madalali
 
Back
Top Bottom