TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 31,930
- 19,156
Na sometimes hiyo Manowari huwa inatembea na huenda hata iko Atlantic ndege zinaruka hadi Yemen na wana refuel juu kwa juu.Sasa east mediterranean timo zone si ni zilezile tu
Wamesogeza B-2 huko ghuba, huwezi ipeleka meli vita mbali na shabaha Ili upunguze ufanisi na uongeze gharama,meli vita wanayotumia ni truman ambayo eneo lake ni hapo,hiyo video haihusiani na habariNa sometimes hiyo Manowari huwa inatembea na huenda hata iko Atlantic ndege zinaruka hadi Yemen na wana refuel juu kwa juu.
Sadamu alikuwa anapigwa na B52 Bombers kutoka Missouri US.Wamesogeza B-2 huko ghuba, huwezi ipeleka meli vita mbali na shabaha Ili upunguze ufanisi na uongeze gharama,meli vita wanayotumia ni truman ambayo eneo lake ni hapo,hiyo video haihusiani na habari
B-52 ndiyo zilimalizq vita vya ghuba?..Sadamu alikuwa anapigwa na B52 Bombers kutoka Missouri US.
Point yangu ni kwamba US inaweza kukupiga kutokea popote pale.B-52 ndiyo zilimalizq vita vya ghuba?..
Hiyo siyo point kwenye mjadala huu, point ni uwongo wa mleta madaPoint yangu ni kwamba US inaweza kukupiga kutokea popote pale.
Umejuaje kama ni uongo?Hiyo siyo point kwenye mjadala huu, point ni uwongo wa mleta mada
Najua marekani wanatumia fleet gani YemenUmejuaje kama ni uongo?
Umejuaje kama ni uongo?
Utaendelea kupigwa tu mpaka pale magaidi ya Houth yatasitisha mashambulizi dhidi ya meli za biasharaHuo uwanja ushapigwa zaidi ya mala 10
Ni hakika hilo. Eti jamaa anasema (tena kwa kujidai) drone inarushwa kutokea porini. Tangu lini ndegevita ikapigwa au kudunguliwa kwa drone? Wahouth bhana! Ngoja warushe hizo tiara zao kutoka porini.Mtanyooka tu safari hii!!!
OK. Kwani inatakiwa uwanja huo upigwe mala ngapi mkuu? Mbona hatujamsikia mHouthi akilia kwa machungu kama mwenzake kule Gaza yule mHAMAS ambaye alilia kwa sauti ya kulalama akiziomba sana jumuia za kimataifa akisema "Jamaniee, Tupa taulo uwanjani mniokoe na huyu Myahudi anapiga mno za uso". Subiri uwanja na kwingineko wapigwe hadi tuisikie sauti ya waHouth wakilia na kuomboleza kuwaomba Mataifa au Marekani kwa kuhitaji ceasefire deal.Huo uwanja ushapigwa zaidi ya mala 10
Hapo mm naona ambaye hana akili ni Yemen kwa sababu uharibifu unaotokana na mashambulizi hayo ni kwa taifa la Yemen kwa ujumla. Houth ni kakikundi tu ndani ya nchi ya Yemen. Sasa Yemen inaangamizwa kutokana na ujinga wa hako kakikundi kamoja - tena kikundi cha kigaidi.Hao magaidi wa Houthi nao hata akili hawana, sasa nchi yao inapigwa na hawana uwezo wa kuzuia kisha na wenyewe waje sijui wajengewe na nani. Waarabu akili ndogo sana.
Kanumba alisema "This food is too much pilipili "Huo uwanja unatumika kigaidi sana!! Iran anautumia sana kuwapelekea silaha na. Vifaa vingine vya kufanyia ugaidi
Uzuri ni kwamba hakuna meli ya israel iliyopita hapo tangu houthi wakiamshe mara ya pili,na tayari trump kawataka Qatar waanze maxungumzo ya kusitisha vitaKwahiyo una maana Magaidi wa Houthi hawajapigwa tokea 15 March?
26 Mar 2025
👆👆👆👆👆
Several air strikes have hit northern Yemen, according to the Houthis, who said they carried out attacks on United States warships in the Red Sea and launched drones at military sites in Israel.
Sasa unabishana na Aljazeera?!Uzuri ni kwamba hakuna meli ya israel iliyopita hapo tangu houthi wakiamshe mara ya pili,na tayari trump kawataka Qatar waanze maxungumzo ya kusitisha vita