Uwanja wa ndege wa sanaa huko Yemen usiku huu unapata kipondo kutoka majeshi ya Marekani

Uwanja wa ndege wa sanaa huko Yemen usiku huu unapata kipondo kutoka majeshi ya Marekani

Screenshot_20250328-090525.jpg

Hawa wapuuzi wameyakanyaga hii ndio lugha pekee USA na IDF huwa wanaitumia kuzungumza na wajinga wajinga.
 
Uzuri ni kwamba hakuna meli ya israel iliyopita hapo tangu houthi wakiamshe mara ya pili,na tayari trump kawataka Qatar waanze maxungumzo ya kusitisha vita
Endelea kuota ndoto za Mwendawazimu huku mkijifariji kutokana na kipigo Anachopata. Uwanja wa ndege mpaka sasa umefungwa!!
 
Habari hii inasaidia nini waTz tunaoteseka na wizi na mikopo ya serikali

Sisi sio Wayemen, Wamarekani wala Mayahudi
Umewashwa sehem gani ya mwili wako mpaka umekuja hapa? Ulipaswa uendelee kuteseka na hiyo mikopo sasa unapokuja kulalamika hapa sisi siyo Serikali!!
 
Dogo mtoa mada siku US akimshinda Yemen uje utuambie. We hujui US wanambembeleza nyuma ya pazia Yemen ndio hataki offer zao.
 
Dogo mtoa mada siku US akimshinda Yemen uje utuambie. We hujui US wanambembeleza nyuma ya pazia Yemen ndio hataki offer zao.
Waislamu bwana akili zenu mnazijua wenyewe Yemen anavyopigika ninyi mnasema anabembelezwa, Hata Hezboullah naye mlimsifia weeee lakini kalemazwa na jana kajaribu kuchechemea kuishambulia Israel kapigwa mpaka kachakaa!, Wadanganye wajinga na Wapumbavu kama wewe!! Houth kama Houth ana nguvu gani kupambana na Marekani? Mwaka mzima alikuwa anapambana na Israel wala hakuleta Impact yoyote kwa Israel na makombola yake yote yanapopolewa!!!
 
Kwani Yemen ni kisiwa kachunguze ramani upya???
Kwa taarifa yako Houth hawatawali Yemen yote wao wana sehemu tu wanayoitawala. Hivi mnadanganyana na wenzako Houth wanatawala Yemen nzima? Hamjui kitu rudini shule mkasome!!
 
Mwasilika mkuu ni Israel kufungiwa Bahari ndiomana Marekani inachoma pesa kununua Makombora ya kupiga Yemen !!!!!

Airpot ya Sanaa aina umuimu wowote ni O kuufungia lkn Israel inategemea pakubwa Bahari kusafilisha Bidhaaa na kupokea Bidhaaa !!!!!

Yemen ishikilie apo apo Watanyooka tu

baba utam uko wp??


MAZUNGU washavurugwa na mipango ya Iran!!!

YEMEN ipo seem muimu sana sana tena sana IRAN kweli Akili kubwa

ndio mana nasema WAZUNGU nguvu wameishiwa wamezeeka ki technologia kwanini wasianze na IRAN master plan.

Wanaogopa nini kwa muajeni!!!!!!
 
Waislamu bwana akili zenu mnazijua wenyewe Yemen anavyopigika ninyi mnasema anabembelezwa, Hata Hezboullah naye mlimsifia weeee lakini kalemazwa na jana kajaribu kuchechemea kuishambulia Israel kapigwa mpaka kachakaa!, Wadanganye wajinga na Wapumbavu kama wewe!! Houth kama Houth ana nguvu gani kupambana na Marekani? Mwaka mzima alikuwa anapambana na Israel wala hakuleta Impact yoyote kwa Israel na makombola yake yote yanapopolewa!!!
Yemen ajaanza kupiga leo wala jana kumbuka vita na Saudi Arabia miaka 6 oh 8 zinapigwa !!!!!

na MAREKAN + NATO walikuwa upande wa Saudia kijesh walipiga kila kitu masoko shule lkn mwisho ni uyouyo Saudia ndio karusha taulo ulingoni !!!!!

YEMEN kubwa sana milima na inamapango makubwa **** Maandaki chini uko Waajen wanafanya yao !!!!

njia akuna ngoma ngumu Tramp atavaa kibagalashia siku moja yetu macho!!!!!
 
Kwa taarifa yako Houth hawatawali Yemen yote wao wana sehemu tu wanayoitawala. Hivi mnadanganyana na wenzako Houth wanatawala Yemen nzima? Hamjui kitu rudini shule mkasome!!
Sawa wengine wana %25 tu lkn Seem kubwa ipo chini ya Houth. 75% adi mji mkuu uko chini yao!!!
 
Back
Top Bottom