Uwanja wa ndege wa Sana’a washambuliwa na ndege za Israel!!!!!

Uwanja wa ndege wa Sana’a washambuliwa na ndege za Israel!!!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baada ya matishio ya muda mrefu yaliyokuwa yanafanywa na kundi la kigaidi la Houth kushambulia uwanja wa ndege wa Ben Gurion bila mafanikio!! mfupi uliopita, IDF ilishambulia uwanja wa ndege mkuu wa Sana'a na ndege za kundi la kigaidi la Houthi.

Ndege zilizolengwa zilitumiwa na utawala wa Houthi kuwasafirisha magaidi waliokuwa wakipanga mashambulizi dhidi ya Taifa la Israel.

Sawa na bandari za Hudaydah na As-Salif ambazo zilishambuliwa wiki iliyopita, uwanja mkuu wa ndege wa Sana'a huendeshwa mara kwa mara na utawala wa Houthi na hutekeleza malengo yake ya kigaidi. Huu ni mfano mwingine wa shirika la kigaidi la Houthi kutumia kikatili miundombinu ya raia kwa shughuli za kigaidi.

IDF imeazimia kuendelea kufanya kazi na kumpiga kwa nguvu yeyote ambaye ni tishio kwa wakazi wa la Israeli—bila kujali umbali.
 

Attachments

  • video5023809570955331422.mp4
    3.2 MB
  • IMG_3035.jpeg
    IMG_3035.jpeg
    83.1 KB · Views: 32
Hivi hao jamaa hawana vifaa vya kudungua ndege?. Najiuliza hivi Israel nae akiamua kurusha makombora kama wao wanavyorusha kwenda Israel si maafa yanakuwa makubwa sana!?.
Sema Waarabu nimewanyooshea mikono. Wana roho za paka akiani. Yaani na kupigwa kwa bandari na airport zao ila hawachoki kurusha missile kwenda Israel.
 
Wakimaliza kuwatwanga hao Houthis ni vema wawaache wapumzike kidogo halafu wawarudie na kuwapa kipondo cha nyongeza.
 
Hivi hao jamaa hawana vifaa vya kudungua ndege?. Najiuliza hivi Israel nae akiamua kurusha makombora kama wao wanavyorusha kwenda Israel si maafa yanakuwa makubwa sana!?.
Sema Waarabu nimewanyooshea mikono. Wana roho za paka akiani. Yaani na kupigwa kwa bandari na airport zao ila hawachoki kurusha missile kwenda Israel.
Hiyo ni kawaida ya watu wajinga na wapuuzi kurusha kwao makombola Israel ambayo kila mara yanadunguliwa ndiyo kunasababisha wao wapewe kipondo cha kufa mtu!!!
 
Hivi hao jamaa hawana vifaa vya kudungua ndege?. Najiuliza hivi Israel nae akiamua kurusha makombora kama wao wanavyorusha kwenda Israel si maafa yanakuwa makubwa sana!?.
Sema Waarabu nimewanyooshea mikono. Wana roho za paka akiani. Yaani na kupigwa kwa bandari na airport zao ila hawachoki kurusha missile kwenda Israel.
Dini( bikira72)
 
Kwaiyo ISRAELI vs Houthi uwanja wa Vita ni viwanja vya ndege ndio Vita ilipo!!!

Iran noma wale jamaaa!!
mpinzani wake akiangaika kushikana mashati na wala gomba kila m1 akijitapa kumzuiya mwenzie asitumie Anga.!!!!!

Iran kakaa paleeee kimyaaa anakunywa kahawa na popcorn yake!!!

Hapana Iran Akili kubwa sana..
 
... hivi Israel nae akiamua kurusha makombora kama wao wanavyorusha kwenda Israel si maafa yanakuwa makubwa sana!?.
Watatoka kulalamika kuwa Israel inaua wanawake na watoto
 
Watatoka kulalamika kuwa Israel inaua wanawake na watoto
Wapi kila siku anapiga uwanja wa Ndege si anajua Houthi anaweza nayeye kuwachimbua ata kwenye mashimo yao uko Israel!!!!

ukisikia vifo ni kwa wanyonge wa Palestina sio kwa Yemen .
 
Sponsor ni huyu ukisikia wamepigwa jua sponsor ni huyu jamaa na muarabu

⚡️🏴‍☠️🇺🇸/🇵🇸🔻US shipped 90K TONS OF WEAPONS to Israel since October 2023

On May 27, the Israeli Defense Ministry marked the landing of the 800th US transport plane in Israel.

In addition to the planes, 140 US ships have been involved in delivering armaments and military equipment since the start of the Gaza War.

@AlHaqNews
 
Sio kila Kafir anaamini kwenye samehe saba mara sabini, muwe mnaangalia na Makafir wakuwanawa.
 
Huu uwanja wa ndege juzi juzi hapa mbona ulipigwa sana tukaambiwa haufai tena, imekuaje tena unapigwa.
 
Back
Top Bottom