Uwanja wa New Jos | Ligi ya Mabingwa Afrika' Plateau United Vs Simba SC

Simba ndiyo waliokataa huo mtanange usioneshwe na TV za hapa nyumbani lakini huko nigeria watu wanaangalia live

Unataka kutuambia ile taarifa aliyotoa balozi ni ya uwongo?? Balozi alisema wazi kuwa walifanya jitihada zote kwa utaratibu, ila wenyeji wakakataa! Je balozi ni muongo???
Hebu tupe chanzo kinachothibisha kuwa simba ndio walikataa, leta ushahidi pia!
 
Pumbafu sana hao wanaijeria , kwa mantiki IPI hawataki mpira wao uonyeshwe
 
UFM wataluwa kuwa live
 
Naaam kikosi kipo uwanjani kikipasha misuli

Ni Ligi ya Mabingwa Afrika Simba SC na Plateau
 
Naaam mpira umeanza uwanja wa New Jos

Ligi ya Mabingwa Afrika Simba SC na Plateau United
 
Manula ameokoa mchomo mkali imekuwa kona
 
10' Walianza kwa Kasi Plateau dakika 5 za mwanzo na Simba wakajibu kwa dakika 5 kabla ya dakika ya kumi

Plateau United 0-0 Simba SC
 
15' Plateau United walipata Kona mbili ambazo hazikuzaa bao, Aishi Manula akiokoa hatari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…