Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
KwikwikwikwiManula tulimfungia magnetic kwenye gloves, so mipira yote inamfata
. Nigeria tunaijuwa Enyimba tuHii ndio Simba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Manula tulimfungia magnetic kwenye gloves, so mipira yote inamfata
Kiukweli nigeria wanatisha sana kwenye yale ma movie yao ya msituni ya uchawi, ila kwenye soka hamna kitu. Nigeria tunaijuwa Enyimba tu
Dakika ya 74dk ya ngapi?