Uwanja wa New Jos | Ligi ya Mabingwa Afrika' Plateau United Vs Simba SC

Uwanja wa New Jos | Ligi ya Mabingwa Afrika' Plateau United Vs Simba SC

Asante Mungu bao namna lilivyofungwa kwenye picha.. Simba SC
FB_IMG_1606666631503.jpg
FB_IMG_1606666635805.jpg
 
Simba wakifanya counter nyingine wanapata bao la pili sasa hivi, maana vijamaa vinapanda vyoteeee
 
Shomari Kapombe yupo chini baada ya kupata rabsha..ameinuka mpira unaendelea

Plateau United 0-1 Simba SC
 
Back
Top Bottom