Tindikali Kali
JF-Expert Member
- Jan 9, 2018
- 541
- 396
mpira uishe tu
Daah!82' Plateau United wanakosa nafasi ya kufunga baada ya mpira kupaa juu ya lango, ilikuwa hatari
Plateau United 0-1 Simba SC
Wananawa uso.🤣siwaoni tena Uto fans,where are you dear😂😂
bila shaka,maana macho yamejaa ukungu hawaamini wanachokionaWananawa uso.🤣
kuna mwanamama tulikuwa nae mwanzoni mwa uzi,sasa simuoni tenaUto kama uto wamejificha kwenye mablanketi mapema yote hii
Muite Tanzania one90' Bado za mwamuzi tuu, Aishi Manula akiokoa hatari sana..
Mungu ibariki Simba SC
90' Bado za mwamuzi tuu, Aishi Manula akiokoa hatari sana..
Mungu ibariki Simba SC
au air manulaMuite Tanzania one
Dakika za nyongeza ngapi?Wakati wowote Mpira utamalizika uwanja wa New Jos, bado sekunde chacheeee
KwikwikwiHivi kule hawana NEC wakubadili matokeo
Itakuwa ameenda kumpikia mumewe😂kuna mwanamama tulikuwa nae mwanzoni mwa uzi,sasa simuoni tena