Uwanja wa New Jos | Ligi ya Mabingwa Afrika' Plateau United Vs Simba SC

Uwanja wa New Jos | Ligi ya Mabingwa Afrika' Plateau United Vs Simba SC

Miquissone anachelewa sana na mpira hadi mianya inazibwaa piga tatu hawa ukipata nafasi usiipoteze.

Kumbu kumbu
1975 Yanga na Enegu sare Naigeria kuja Dar wakatutoa
1983 Simba na Water cooperation sare Naigeria wakaja wakatufunga nyumbani
Hawa watu siyo wa kuamini sasa Miquissone amejiamini.
 
Wakati wowote Mpira utamalizika uwanja wa New Jos, bado sekunde chacheeee
 
Back
Top Bottom