Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna wa kutuzuia kuingia makundi.Bado ,hamfiki mbali. Mtakwama kule North Africa. Sala zangu zipo pale pale.
Mlihonga nyie. Mkapewa group la vilaza. Ila hamtafika mbali. Rais wa CAF mliemhonga kafukuzwa.Hakuna wa kutuzuia kuingia makundi.
...💪💪💪.....
Hongera sana kwa wawakilishi wetu!🙏🙏Naaaaaaaam mpira umekwishaaaa
Daadeki presha itakuja kunidedisha... sijathubutu kuangalia pira biriani... ngoja sasa nikaungalie vizuri huku nikilamba mayi ya baridiiiNaaaaaaaam mpira umekwishaaaa
🤔🤔Mlihonga nyie. Mkapewa group la vilaza. Ila hamtafika mbali. Rais wa CAF mliemhonga kafukuzwa.
.90+11'
Naaaaaaaam mpira umekwishaaaa uwanja wa New Jos Ligi ya Mabingwa Afrika Simba wanaibuka kwa ushindi wa bao moja bila likifungwa na Claotus Chota Chama dakika ya 53'
FT; Plateau United 0-1 Simba SC
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tulisema mapema kuwa kuna ushindi siku ya leo.. Simba SC NguvuMojaDaadeki presha itakuja kunidedisha... sijathubutu kuangalia pira biriani... ngoja sasa nikaungalie vizuri huku nikilamba mayi ya baridiii