Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Uwanja wa Arsenal unaitwaje Ndugu yangu?Uwanja wa Man City unaitwaje mkuu??Uwanja Kutumia jina la Mdhamini/Mwekezaji badala ya jina la Timu/Klabu hiyo sio Sahihi. Uwanja ulipaswa kuitwa Simba SPorts Club Arena sio MO Arena!
mleta mada inawezekana kuwa yupo sahihi ila sema kosa lake ni kutokui qualify argument yake.
kwamba arena ni uwanja wa kabumbu ni sawa.
kwamba arena ni lazima iwe na viti vya kukalia kuzunguka pitch ni sawa.
sasa, kama uwanja wa Simba bado haujawekwa hivyo viti, then hauwezi kuitwa arena hadi utakapo qualify kwa viti.
swali..je uwanja wa Simba umejengewa viti?
View attachment 1291108
haiwezi kuitwa Arena kama haijawekewa viti kuizunguka.Achana kwanza na suala la viti!
Mtoa mada ameanza hivi " Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu".
Je ni kweli kuwa sehemu ikiitwa arena huwezi cheza mpira wa miguu?
Sent from my iPhone using JamiiForums
haiwezi kuitwa Arena kama haijawekewa viti kuizunguka.
ndiyo maana nilisema anaweza kuwa yupo sahihi but argument yake haijawa adequately qualified.
sawa.Hujajibu swali, au na wewe unataka kuwa juha? read between lines!!
Rudi ukasome vizuri uzi alivyoanza!
Ameanza kwa kusema sehemu ikishapewa jina arena huwezi cheza mpira wa miguu? Sasa je yupo sahihi kusema hivyo kwamba arena huwezi cheza mpira wa miguu??
...hoja siyo kuitwa arena angali hakuna viti!
Hilo jina utambue halijasimikwa rasmi na hata uwanja bado hujakamilka na hata haujazinduliwa!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ice hockey ikachezwe Allianz Arena? 😰 brother umekula magimbi?Hats kama hazichezwi ila zinaweza chezwa.
😰 nianze kuhangaika na maana za kamusi ilihali Allianz Arena naijua na unachezwa mchezo mmoja pia unachukua watu 75 elfu si uwehu huoLakini mbona simple tu broo!! Umeambiwa uliza kwenye dictionary Arena ina maana gani? uikishapata maana njoo sasa ubishane nao
Timu gani ya Rugby inautumia uwanja wa Allianz Arena?Michezo mingine, ni Futsal, Uni Hockey, Union Rugby, na Swimming. Pia zinafanyika shows za muziki.
Make me please.
Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu. Arena ni sehemu ilio jengewa kwa kufunikwa,ambapo michezo mingi hufanyika kama basketball, ice hockey, mikutano na matamasha. Na ni sehemu ilo zunguukwa na viti na huchukuwa watu wasio zidi elf 20, Je huo uwanja wetu wa Simba huko Bunju una vigezo hivyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja hujibiwa kwa hoja na sio viojaKwani nyiye mmekatazwa kuita pale kwenu Akilimali Arena?
Timu ya Union Rugby ni Kempten Leafs München.Timu gani ya Rugby inautumia uwanja wa Allianz Arena?
Timu gani ya Futsal inautumia uwanja wa Allianz Arena?
Timu gani ya Rugby inatumia Allianz Arena?
Ndani ya Allianz Arena ni sehemsehemu gani kuna uwanja wa Ice Hockey?
.
Show za Muziki yes zinaweza kufanyika
Hii timu sijaipata haipoTimu ya Union Rugby ni Kempten Leafs München.
HaipoTimu ya Fútsal ni Futsal Bayern Munich (Bayern München Fútsal).
HaipoNimesema Uni Hockey Uni Hockey Uni Hockey!!!! Timu ni Ulm Hockey Spielen
SikukataaMuziki zimefanyika shows za Matty Menky, Felix Jaehn, Armin van Buuren, Piso 21 to name a few...
Hapa ndipo nilipo thibitisha mauongo yako 😟😈 yani unalazimisha mvua kuwa mchanga hivi zimo kweli wewe?Pia nilisahau Bayern München Basketball wanatumia Allianz Arena.
Nipo....
Mkuu kwenye jukwaa kule umepotea , uwepo wako ni mhimu kutupa vitu konki
Kaka swore hurt more than you think.Hii timu sijaipata haipo
Haipo
Haipo
Sikukataa
Hapa ndipo nilipo thibitisha mauongo yako 😟😈 yani unalazimisha mvua kuwa mchanga hivi zimo kweli wewe?
.
Huu hapa uwanja wa Bayern Munchen basketball
View attachment 1291680View attachment 1291681haya hii ni Allianz Arena?
Vyura sijui huwa mnatumia nini kufikiri
Mo Arena,baadae utakuwa golf course Wahindi watahama Gymkhana na kuja hapo Mo Arena.Mbumbumbu ni wa kuhurumia, Rage hakukosea kuwaita hivyo hawajui kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina ninachoelewa Mtani ndio mana nimejaa hapa nipate ABC. 😎Kwa heshima bila taadhima mtani wewe unafahamu nini kuhusu Arena?
😅😅😅Lakini mbona simple tu broo!! Umeambiwa uliza kwenye dictionary Arena ina maana gani? uikishapata maana njoo sasa ubishane nao