Uwanja wa Simba kuitwa “Arena” sio sawa

Uwanja wa Simba kuitwa “Arena” sio sawa

mleta mada inawezekana kuwa yupo sahihi ila sema kosa lake ni kutokui qualify argument yake.

kwamba arena ni uwanja wa kabumbu ni sawa.

kwamba arena ni lazima iwe na viti vya kukalia kuzunguka pitch ni sawa.

sasa, kama uwanja wa Simba bado haujawekwa hivyo viti, then hauwezi kuitwa arena hadi utakapo qualify kwa viti.
swali..je uwanja wa Simba umejengewa viti?

View attachment 1291108

Achana kwanza na suala la viti!
Mtoa mada ameanza hivi " Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu".
Je ni kweli kuwa sehemu ikiitwa arena huwezi cheza mpira wa miguu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
haiwezi kuitwa Arena kama haijawekewa viti kuizunguka.
ndiyo maana nilisema anaweza kuwa yupo sahihi but argument yake haijawa adequately qualified.
 
haiwezi kuitwa Arena kama haijawekewa viti kuizunguka.
ndiyo maana nilisema anaweza kuwa yupo sahihi but argument yake haijawa adequately qualified.

Hujajibu swali, au na wewe unataka kuwa juha? read between lines!!
Rudi ukasome vizuri uzi alivyoanza!
Ameanza kwa kusema sehemu ikishapewa jina arena huwezi cheza mpira wa miguu? Sasa je yupo sahihi kusema hivyo kwamba arena huwezi cheza mpira wa miguu??
...hoja siyo kuitwa arena angali hakuna viti!
Hilo jina utambue halijasimikwa rasmi na hata uwanja bado hujakamilka na hata haujazinduliwa!!

sawa.
mimi ni juha.
happy now?
 
Lakini mbona simple tu broo!! Umeambiwa uliza kwenye dictionary Arena ina maana gani? uikishapata maana njoo sasa ubishane nao
😰 nianze kuhangaika na maana za kamusi ilihali Allianz Arena naijua na unachezwa mchezo mmoja pia unachukua watu 75 elfu si uwehu huo
 
Michezo mingine, ni Futsal, Uni Hockey, Union Rugby, na Swimming. Pia zinafanyika shows za muziki.

Make me please.
Timu gani ya Rugby inautumia uwanja wa Allianz Arena?
Timu gani ya Futsal inautumia uwanja wa Allianz Arena?
Timu gani ya Rugby inatumia Allianz Arena?
Ndani ya Allianz Arena ni sehemsehemu gani kuna uwanja wa Ice Hockey?
.
Show za Muziki yes zinaweza kufanyika
 
Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu. Arena ni sehemu ilio jengewa kwa kufunikwa,ambapo michezo mingi hufanyika kama basketball, ice hockey, mikutano na matamasha. Na ni sehemu ilo zunguukwa na viti na huchukuwa watu wasio zidi elf 20, Je huo uwanja wetu wa Simba huko Bunju una vigezo hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani nyiye mmekatazwa kuita pale kwenu Akilimali Arena?
 
Timu gani ya Rugby inautumia uwanja wa Allianz Arena?
Timu gani ya Futsal inautumia uwanja wa Allianz Arena?
Timu gani ya Rugby inatumia Allianz Arena?
Ndani ya Allianz Arena ni sehemsehemu gani kuna uwanja wa Ice Hockey?
.
Show za Muziki yes zinaweza kufanyika
Timu ya Union Rugby ni Kempten Leafs München.

Timu ya Fútsal ni Futsal Bayern Munich (Bayern München Fútsal).

Nimesema Uni Hockey Uni Hockey Uni Hockey!!!! Timu ni Ulm Hockey Spielen

Muziki zimefanyika shows za Matty Menky, Felix Jaehn, Armin van Buuren, Piso 21 to name a few...

Pia nilisahau Bayern München Basketball wanatumia Allianz Arena.

Nipo....
 
Timu ya Union Rugby ni Kempten Leafs München.
Hii timu sijaipata haipo

Timu ya Fútsal ni Futsal Bayern Munich (Bayern München Fútsal).
Haipo

Nimesema Uni Hockey Uni Hockey Uni Hockey!!!! Timu ni Ulm Hockey Spielen
Haipo

Muziki zimefanyika shows za Matty Menky, Felix Jaehn, Armin van Buuren, Piso 21 to name a few...
Sikukataa

Pia nilisahau Bayern München Basketball wanatumia Allianz Arena.

Nipo....
Hapa ndipo nilipo thibitisha mauongo yako 😟😈 yani unalazimisha mvua kuwa mchanga hivi zimo kweli wewe?
.
Huu hapa uwanja wa Bayern Munchen basketball
1608884624-29153307_526-2V75.jpg
audi-dome-rudi-sedlmayer-halle.jpg
haya hii ni Allianz Arena?
Vyura sijui huwa mnatumia nini kufikiri
 
Hii timu sijaipata haipo

Haipo

Haipo

Sikukataa

Hapa ndipo nilipo thibitisha mauongo yako 😟😈 yani unalazimisha mvua kuwa mchanga hivi zimo kweli wewe?
.
Huu hapa uwanja wa Bayern Munchen basketball
View attachment 1291680View attachment 1291681haya hii ni Allianz Arena?
Vyura sijui huwa mnatumia nini kufikiri
Kaka swore hurt more than you think.

Unatumia dharau, dhihaka, chuki, majivuno kuendesha maisha?! Haiko hivyo.

Niliyoyasema ninao uhakika 100% ....
Nimewahi kuwa shabiki wa Bayern München at a pre-teenager age.

I was raised in different parts of Germany....

By the way amini unavyo amini.
 
Nimepitia page zote za uzi huu sio kusoma comments bali kuona picha za Mo arena, nasikitika sijafanikiwa
 
Back
Top Bottom