Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,120
- 24,667
Kuna kigezo kimoja au zaid hakipo katika uwanja wa Simba ndio kinachofanya usiitwe arena
Hauna majukwaaaa huo uwanja kwa kigezo Cha arena meaning
Kwahyo mtoa mada Yuko sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Usahihi upo wapi?
Kaanza kwa kusema "Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu"
Je hiyo ni sahihi?
Ni sawa viwanja vya simba havina majukwaa lakini ujue kuwa hilo jina lililochaguliwa kwa kiwanja cha simba bado halijasimikwa rasmi kwa kuwa hata kiwanja bado hakijazinduliwa rasmi!
Upo mchakato wa kuweka majukwaa pale muda si mrefu utaanza!
Lakini bado swali linabaki je ni kweli kuwa kiwanja kikipewa jina arena huwezi cheza mpira wa miguu kama mtoa mada alivyosema katika sentensi yake ya kwanza kabisa katika uzi wake??!?
Sent from my iPhone using JamiiForums