Uwanja wa Simba kuitwa “Arena” sio sawa

Uwanja wa Simba kuitwa “Arena” sio sawa

Kuna kigezo kimoja au zaid hakipo katika uwanja wa Simba ndio kinachofanya usiitwe arena

Hauna majukwaaaa huo uwanja kwa kigezo Cha arena meaning

Kwahyo mtoa mada Yuko sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app

Usahihi upo wapi?
Kaanza kwa kusema "Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu"
Je hiyo ni sahihi?
Ni sawa viwanja vya simba havina majukwaa lakini ujue kuwa hilo jina lililochaguliwa kwa kiwanja cha simba bado halijasimikwa rasmi kwa kuwa hata kiwanja bado hakijazinduliwa rasmi!
Upo mchakato wa kuweka majukwaa pale muda si mrefu utaanza!
Lakini bado swali linabaki je ni kweli kuwa kiwanja kikipewa jina arena huwezi cheza mpira wa miguu kama mtoa mada alivyosema katika sentensi yake ya kwanza kabisa katika uzi wake??!?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
IMG_2018.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu.Arena ni sehemu ilio jengewa kwa kufunikwa,ambapo michezo mingi hufanyika kama basketball,ice hockey,mikutano na matamasha.Na ni sehemu ilo zunguukwa na viti na huchukuwa watu wasio zidi elf 20,Je huo uwanja wetu wa Simba huko Bunju una vigezo hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uliyoyataja yote ndio mikakati ya simba na itawekwa kwahiyo tuliza kalio vzr dawa ikuingie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa!!! Mtani kwani hayo ya google hayapestiki hapa?

Hebu fanya kuyapesti mi ntakuwa mkalimani. 😅😅
Haha right angekuwa ni shabiki kindaki ndaki wa soka la ulaya. Hili lisingempa tabu.

Simba wekundu bavariani toka mitaa kaskazini mwa jerumani Bayern muchen machinjioni kwao pale agoogle aangalie jina la uwanja.

Vipi mmeshaanza wadumbukizia wa kina falcao mishahara yao.
 
Hahahahaa. Naona munajificha kwenye mgongo wa Bayern Munich Mtani.
Vipi mmeshaanza wadumbukizia wa kina falcao mishahara yao.
Tayari tumeanza toka jana mpaka leo jioni tutakuwa tumemaliza according tu msemaji kasema #Antonio Nurgaz.. 😎😎
 
Alianza arena unabebaashaniki 60elfu sasa hii yako ya sii zaidi ya 20 elfu inatoka wapi?
Sehemu ikipewa jina Arena basi huwezi cheza mpira wa miguu.Arena ni sehemu ilio jengewa kwa kufunikwa,ambapo michezo mingi hufanyika kama basketball,ice hockey,mikutano na matamasha.Na ni sehemu ilo zunguukwa na viti na huchukuwa watu wasio zidi elf 20,Je huo uwanja wetu wa Simba huko Bunju una vigezo hivyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaa. Naona munajificha kwenye mgongo wa Bayern Munich Mtani.
Tayari tumeanza toka jana mpaka leo jioni tutakuwa tumemaliza according tu msemaji kasema #Antonio Nurgaz.. 😎😎
Iwe ivo mtani msije mkasema iyo 4 January tumewaonea.

Dah ila GSM na yule kanjibah rostam

Haiwezekani watoe ahadi hewa.
Wanautani na sisi wananchi
 
An arena is an enclosed area, often circular
or oval-shaped, designed to showcase
theatre, musical performances , or sporting
events . It is composed of a large open
space surrounded on most or all sides by
tiered seating for spectators, and may be
covered by a roof. The key feature of an
arena is that the event space is the lowest
point, allowing maximum visibility. Arenas
are usually designed to accommodate a
multitude of spectators.

According to Wikipedia.

ZINGATIA : An arena is an enclosed area.
 
Sesten Zakazaka najua huwa hii lugha haikupigagi chenga.

Vp hiki kilichoandikwa na kilichopo kule Bunju kwa sasa viko sahihi au ndio na wewe utashikilia kwamba munaelekea huko? 😎😎
 
It may be yes or no, mpaka either uwanja uishe au msanifu wa uwanja huo atuthibitishie hapa
Mi huyo msanifu wa Uwanja ndio atanifaa kwa majibu ya ukweli hapa na sio hawa ndugu zake na Manara ambao wanaongea kwa hisia tu. 😎😎😎
 
Back
Top Bottom